Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

mna diskasheni gani hapa mnanipa mawazo mie nalea mapacha! manake paw anadeka kuliko mtoto mpya.
nini mbaya?:bump2::bump2:
Hilo swali LA msiiiingi mno!MNOO
King'asti ulivyo Tomaso naomba tu ukuje!
Utanchosha na maswali baadae!

Mie nshawaza hadi akili za uzeeni zimeisha.

Afu wajinga hawa, wasije kuwa wamehamia PM, maana mie moyo wangu wote umelala hapa.
 
Then you deserve a second chance. Rapunzel, kuona mwanamme mzima na miguu yake mitatu anakiri haya hazarani ujue kafikwa? Msamehe saba mara sabini.

Kwanza kama ni mchepuko tu alienda kuomgeza ujuzi na kukupunguzia ghasia, si unajua ng'ombe wako mwenyewe unamkamua kwa mahesabu, sababu hana inshuarensi.

Nakubembelezea, ila hongo uniambie ID ya zamani:cool2:

Ukimeo ulikuwepo Kabla ya kuwa nae I can admit that ila nimechange a lot kwa ajili yake
 
Last edited by a moderator:
He he he, nimekutoa kwenye chama cha udaku na OLESAIDIMU wako

Tunatafuta hizi ID ni zipi? Ili tuzisaidie kusameheana.

mna diskasheni gani hapa mnanipa mawazo mie nalea mapacha! manake paw anadeka kuliko mtoto mpya.
nini mbaya?:bump2::bump2:
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kaka angu amini hiyo ni mitihani tu.
Napenda kukuambia kama kweli mnapendana lazima atarudi tu kwani mapenz ni kitu cha ajabu kama ana true love lazima anaumia ila anatafuta jinsi ya kukufuata... kwani sion sababu kubwa ya kuwatenganisha hiyo ilikua ajali kama ajali zingine! Ila kama kuna lingine sawa.... Lakini pia yawezekana ulikua unatafutiwa sababu bila kujua so unatakiwa kuwa makini na hilo pia.... Nakuombea msamaha usamehewe ili muendelee kufurahia mapenz kama zamani!!!
 
Mwenzangu, 10m ujue vits moja na robo? Na ukizingatia kizazi cha wahongaji kilishaisha nineteen kweusi??!!

Hivi nani alikuwa anaanzisha charity? Memmory inakuja na kuruka

nakufa mbavu!
wewe concern yako ni hiyo tu 10 mil? wakati shori anafuatwa kila nchi anayoenda?

Mtoa mada, kichanga ntamuachia AshaDii alelee na kakake, kama Rapunzel anakuzingua njoo kwanguuuuuu, ngwisaaaaaaa utachotaka ntakupaaa hehehehe.

cc snowhite, kwa taarifa
 
yaani mie umbea nastaafu. ntasahau mtoto kwenye beseni la maji mjue, ohoooo!
Ngoja bebii alale nirudi, manake namfukuzia huyu mjutaji
He he he, nimekutoa kwenye chama cha udaku na OLESAIDIMU wako

Tunatafuta hizi ID ni zipi? Ili tuzisaidie kusameheana.

Hivi huna mtu huko Manhattan atuangalizie mtz gani kalala sero recently?

Mie ndugu zangu wote wako Kibaigwa na Kongwa, daym!
 
mi nasomaga dili za hela tu kiukweli. mambo ya charity wapi wakati hela ya handbags tu inanipa homa
Mwenzangu, 10m ujue vits moja na robo? Na ukizingatia kizazi cha wahongaji kilishaisha nineteen kweusi??!!

Hivi nani alikuwa anaanzisha charity? Memmory inakuja na kuruka
 
Pole sana kaka angu amini hiyo ni mitihani tu.
Napenda kukuambia kama kweli mnapendana lazima atarudi tu kwani mapenz ni kitu cha ajabu kama ana true love lazima anaumia ila anatafuta jinsi ya kukufuata... kwani sion sababu kubwa ya kuwatenganisha hiyo ilikua ajali kama ajali zingine! Ila kama kuna lingine sawa.... Lakini pia yawezekana ulikua unatafutiwa sababu bila kujua so unatakiwa kuwa makini na hilo pia.... Nakuombea msamaha usamehewe ili muendelee kufurahia mapenz kama zamani!!!

Asante mkuu wangu
 
Huu uzi nimeutafuta jamani! Haahg hadi nimempm mod kumuliza kumbe ni sticky haagh! Hawa watu watakuwa waheshimiwa humu ngojaa..! cc snowhite
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom