Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

ID ya zamani iliyo ughaibuni, afu masuala ya charity, kiyatima zaidi, eeeeh:A S 39:, Rapunzel has been exposed.

Hata yeye amebadili username muda Kidogo waliokuwa wanamfahamu kwa jina la zamani hawamjuhi kwa jina la sasa
 
He he he, hijaona kwenye sred uloanzisha nimemwambia lara 1, ukimshinda atuite tukusute na bisibisi?
JF ni a very serious business to some.

Nimeona ila hapo kwenye bisibisi , mkuje niwape ufundi wa kusuta kwa maneno tu hadi mtu anaded
 
Ok sawa…lakini mimi sioni kama umekosea lolote ni huyu binti mwenyewe amejisababishia matatizo…kwasababu hakuweza kujizuia hasira zake na kuingia kwenye ugomvi akawekwa selo haimaanishi ndo lawama upewe wewe???Au anatafuta sababu tu za kukununia ili yake yamuendeee??Na huo ubize wake wakushindwa kukufata mgeni wake/mwenzi wake airport siuelewi,ukichangia alikuwa anajua kuwa unakuja!!:blabla:Hajapata anayemzingua kweli,ninavyosoma unayoandika kama anakuepuka….au it feels like you are the one in love!!
Nami nataka kujua Kama ananitafutia sababu au la! kuliko anavyoninyamazia kimya it's killing me inside
 
Ahahahahaha we sasa ulivolisema huku umezid kuumiza mbavu zangu!
Ile sredi natamani iwekwe sticky!
Paw puleeeez!

mi mwenye mecheka hadi basi.pilau lilikuwa tamu lile jamani!!
 
Last edited by a moderator:
Heh! Kunani tena shosti?

Siku hizi humu ni msimu wa kulavuana tu!
Huyo mililita sijui kilolita aliwekaga uzi hapa oh nataka kumuoa huyo bibie vai!wakacharurana weeee binti akahitimisha SIKUTAKI!
Leo asbh kaamka na sredi oh nimetoka kutoa posa jiandaeni na harusi,weeeeeeeeeh!kimemuwakiaje !mwisho oh mi natania jamani!
Mfyyuuuuuuuu unaanzaje kumtania mtu usiye na utani nae?
Ndo anatolewa kucha bila PF3 huko!
 
Nami nataka kujua Kama ananitafutia sababu au la! kuliko anavyoninyamazia kimya it's killing me inside
ni vyema ukiongea nae ili ujue yanayoendelea…unataka kupoteza muda wako kwa mtu ambae hajali hisia zako na uwepo wako?mtu wa aina hio hata mkifunga ndoa atakuburuza sana tu kwasababu anajua unampenda mnoo….humanbeings are selfish...
 
Siku hizi humu ni msimu wa kulavuana tu!
Huyo mililita sijui kilolita aliwekaga uzi hapa oh nataka kumuoa huyo bibie vai!wakacharurana weeee binti akahitimisha SIKUTAKI!
Leo asbh kaamka na sredi oh nimetoka kutoa posa jiandaeni na harusi,weeeeeeeeeh!kimemuwakiaje !mwisho oh mi natania jamani!
Mfyyuuuuuuuu unaanzaje kumtania mtu usiye na utani nae?
Ndo anatolewa kucha bila PF3 huko!

Ticha ukisamaraise utamaliza utamu waaache waende
 
He he he, hajui unatania unaotaniaga nao tu. Unakumbukaga siku ile? Sitakaa nirudie, naa adabu zote.

Ahahahahaha najua huyo shosti angu akiamuaga kuwa kilaza!
Nimemrahisishia kazi!
 
Back
Top Bottom