Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Duh... Ndefu sana ntasoma baadae!!!
njoo nikusummaraizie lol
Duh... Ndefu sana ntasoma baadae!!!
sikupenda Kutumia I'd yangu ya Zamini kwa sababu binafsi
Dadavua kidogo.Wengine sisi ni slow learner.
sikupenda Kutumia I'd yangu ya Zamini kwa sababu binafsi
Mmmmh!! Kuna mada zikianzaga humu!! Hadi msimu uishe!! Jamani! Ila mbona unaonekana yu mtumwa kwenye hayo malovee!! Mahaba ntundikee! Hehee!! Nadhani bibie keshapata ujumbe !!! Siye twapita tu!! Anayefuata................?????[/
Kumpenda mtu sio utumwa Munkari ila nilishajitolea Kwake kwamba she's the one but moyo wa mtu ni msitu
Unadhani ni ID fake tu? Unaanzisha sred, afu unapigia mashosti zako simu waje kukoment ili kumchamba fulani.
hii ni story ya kutunga ama?
ushaongea na mods??
Mmmmh!! Kuna mada zikianzaga humu!! Hadi msimu uishe!! Jamani! Ila mbona unaonekana yu mtumwa kwenye hayo malovee!! Mahaba ntundikee! Hehee!! Nadhani bibie keshapata ujumbe !!! Siye twapita tu!! Anayefuata................?????[/
Kumpenda mtu sio utumwa Munkari ila nilishajitolea Kwake kwamba she's the one but moyo wa mtu ni msitu
haya pole mwaya.ila the way ulivyoelezea ni kama nakuhurumia vilee ,haya endelea kumbembelezaga.
hahaha, na hivi kuna vikundi humu ndani siku hizi
Mbona Id ya mwenzako umeiweka..................
Hivi uliwaza nini kula pilau la wale walinzi wa kwenu? Sijakumaliza ujue?
Ok sawa…lakini mimi sioni kama umekosea lolote ni huyu binti mwenyewe amejisababishia matatizo…kwasababu hakuweza kujizuia hasira zake na kuingia kwenye ugomvi akawekwa selo haimaanishi ndo lawama upewe wewe???Au anatafuta sababu tu za kukununia ili yake yamuendeee??Na huo ubize wake wakushindwa kukufata mgeni wake/mwenzi wake airport siuelewi,ukichangia alikuwa anajua kuwa unakuja!!:blabla:Hajapata anayemzingua kweli,ninavyosoma unayoandika kama anakuepuka….au it feels like you are the one in love!!siwezi kupoteza muda wangu kumtungia mtu story it's really happen