Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Hahaha hebu kuja PM chap.chap sana undugu hauwezi kuisha hivi hivi ila mm napiga kimya sema ntajua nimbembelezejr Rapunzel....si unajua mambo ya uwakili
ukitaka nikununie mpk makabur ya kwenu usinitafute baada ya hiyo PM !
Sijasahihisha madaftari toka asbh hapa!
 
ukitaka nikununie mpk makabur ya kwenu usinitafute baada ya hiyo PM !
Sijasahihisha madaftari toka asbh hapa!

Hataree mwalim hataree

Langu hujalifikia kabisa usije ukanikosesha bure
Munkari njoo nisaidie
 
Last edited by a moderator:
nakufa mbavu!
wewe concern yako ni hiyo tu 10 mil? wakati shori anafuatwa kila nchi anayoenda?
I
Mtoa mada, kichanga ntamuachia AshaDii alelee na kakake, kama Rapunzel anakuzingua njoo kwanguuuuuu, ngwisaaaaaaa utachotaka ntakupaaa hehehehe.

cc snowhite, kwa taarifa
Mwenzangu hilo la msingi
AshaDii akigoma mlete tu huku,ntalea tu mapacha!
 
Last edited by a moderator:
Usiseeeme hiiivyo!
Hata PM sipati ujuee!
Ngoja nianze kujiseksisha!

Punguza ukali bibie,, ndo vitu vizuri huja!!!,, Maana nimekuona kwenye ile sredi nyingine kule ulikuwa moto ile mbaya,,
Ila unakipaji LOL...
 
Ranpuzel msamehe mpenzi wako jifunze kusamehee na kama huna malengo nae ni bora kumuweka waziii
 
Last edited by a moderator:
Hataree mwalim hataree

Langu hujalifikia kabisa usije ukanikosesha bure
Munkari njoo nisaidie

Yani wote tunakuangalia tu hapa!.
We mpk sredi inekuwa sticky!?.
Enhenhenhrnhe nimesahau mpk kutoa homuweki!
 
Last edited by a moderator:
hizi za kubadili id kila kukicha ndio mwanzo wa kuingizwa mjini
 
Back
Top Bottom