Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

Nisamehe Rapunzel Saba mara Sabini

I swear kiuno changu kimeunganishwa na umbea, sasa hivi kinakata kona tu bila kunishirikisha.

hahahahahaha!! Mi natamani niingie ndani ya skriini nifanye udakuzi!! Wallah likizo tam jamani!!
 
He he he, sasa wewe unatutafutia tindikare, maana nikiupata lazima niulete hapa.

hahahahahahaha!! Ujue natumia simu hahaha em fanya kusachi ukonekti vidot utapata kuona maajabu! Hahaha!!
 
snowhite, hebu niangalizie fresh, uzi huu umewekwa sticky? Kumbe ni mata ovu laifu and dethi?
 
Last edited by a moderator:
Mpigie tena, ila naudhika mkienda chemba.
He he he, Antonio Brando akililia Penzi la Sophia Santana, like in movies, how sweetie jamani.

Ngoja nimfosi zombie anifungukie, sijawahi fungukiwa hazarani mie.
Mbona umenikatia simu? na unajua sipendi kukatiwa simu? ebu tuyamalize haya
 
Back
Top Bottom