Lamborghini
Senior Member
- May 30, 2014
- 122
- 55
- Thread starter
- #141
sasa wewe King'asti utakuwa unanitakia kwa ajili ya hela tu....mi sipendi mwanamke mpenda hela ujue
Last edited by a moderator:
Yani mi mwenyewe nimegundua how sweeto it iz!Mpigie tena, ila naudhika mkienda chemba.
He he he, Antonio Brando akililia Penzi la Sophia Santana, like in movies, how sweetie jamaoni.
Ngoja nimfosi zombie anifungukie, sijawahi fungukiwa hazarani mie.
hahaha swali la kichokozi hili wallah nazipgania 10 m ujue!!
Mbona umenikatia simu? na unajua sipendi kukatiwa simu? ebu tuyamalize haya
Hakuna kibaya kilichotokea nilikaa hapo hapo sikulala nikihakikisha mpka anatoka
Yani mi mwenyewe nimegundua how sweeto it iz!
Jamani ruksa mtu kunifungukia hazarani!
Au sijui nijiwowe!
Hivi huna mtu huko Manhattan atuangalizie mtz gani kalala sero recently?
Mie ndugu zangu wote wako Kibaigwa na Kongwa, daym!
Mpigie tena, ila naudhika mkienda chemba.
He he he, Antonio Brando akililia Penzi la Sophia Santana, like in movies, how sweetie jamani.
Ngoja nimfosi zombie anifungukie, sijawahi fungukiwa hazarani mie.
Yani mi mwenyewe nimegundua how sweeto it iz!
Jamani ruksa mtu kunifungukia hazarani!
Au sijui nijiwowe!
Nyani Ngabu au Natalia hawawezi kutusaidia?Hivi huna mtu huko Manhattan atuangalizie mtz gani kalala sero recently?
Mie ndugu zangu wote wako Kibaigwa na Kongwa, daym!
mbona mode wameuweka huu uzi kama "sticky" kwa nini
Kwa misuto yako mama sidhani we subiria mi PM tu.....
Yaani, kitamthilia ujue hata mimba hazisumbui??
Nazo zinakuwa na swagger tu, changamka muda ndio huu
mbona mode wameuweka huu uzi kama "sticky" kwa nini