Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,269
"Unaamua kuwa -----" Naomba Mungu nikifikia kupenda nisipopendwa; nichukue. Sijui.
My wiiiiiiii
Hivi.braza kasema tunaenda lini shopping?
kumbe hii MOVIE BADO INAENDELEA........!
Mie nilijua hii thread imefungwa.Kwani ni movie
Msweet wangu Lamborghini njoo umjibu my wiii Kongosho lini Shopping yetu uliyosema tukafanyie Paris?
kama sio movie basi soap opera!
kama sio movie basi soap opera!
Msweet ngojeni tumalize mfungo wa Ramzan mtachangua wenyewe kati ya Paris au Dubai
sawa my sis Kongosho ?
Msweet wangu Lamborghini njoo umjibu my wiii Kongosho lini Shopping yetu uliyosema tukafanyie Paris?
cc Lamborghini!
hiv hujaona my wii wetu anesemaje?
ehehehhe he asavali!
yaani we snowhite huwa unanichekeshaga lol
nikikusomaga huwa nacheka sana
Weee, wali activate romantic mode yangu.
Ujue nilijikuta nasema 'I do, for better for worse'(sikuwa hata naulizwa mie)