Nisamehe ewe Mwalimu

Nisamehe ewe Mwalimu

Sasa huu msamaha ni ili ufanye malipizi ya kumpa tena tunda au kumuumiza roho tu ticha wa watu
 
Waungwana wazima?

Mimi nakumbuka mwaka 2013 nikiwa chuo mwaka wa kwanza nilijikuta naingia mkenge na mwl wangu ambae alikuwa mkenya akanikaribisha gheto kwake nikaenda tukapiga stori za hapa na pale mwl akijua atakula tunda la mwanafunzi wake nikagoma na kipindi hicho sijui hata mapenzi ni ni nilikuwa nasikia kwa watu tu..

Nakumbuka mamayangu alinipa wosia kuwa usikubali mwanaume akuchezee akikupenda mwambie twende kwa baba yangu mbezi ukajitambulishe ..mwalimu kapiga kiswahili nikawa simuelewi wakati huo nilikuwa na uhuru kidogo maana nilikuwa nakaa hosteli.

Mwalimu nakumbuka alilia akiniambia naomba tunda.. nikakataa.. akalia sana..

Baada ya kuniona nimekataa akaniambia siutalala kwangu leo nikajibu hapana..kama MUNGU vile aliniokoa Baba yangu akanipigia simu niko hapa hosteli kwenu uko wapi? Nikamjibu nipo Posta... Posta mbona kama upo sehemu yenye muziki sana? Nikasema hapan ni gari la matangazo linapita..akaguna nakupa dakika kumi nione sura yako hapa ...nikajibu sawa baba nakuja...

Mwl nikamuaga akasema okey huku akiwa amenuna kwelikweli akaniambia ngoja nitakupeleka mpaka Ubungo..tumefika hapa tanesco almanusura tupate ajali gari yake ikakwaruzwa na daladala.. nilibaki nikisema MUNGU wangu nisamehe..akaniambia usijali angetugonga angetulipa..

Akanishusha pale darajani nikamwaga.. Akashuka kwenye gari akanikumbatia akisema nakupenda sana****** .. Nilishindwa kumjibu mi nawaza Baba kaja kunitembelea nitamweleza posta nimeenda kufanyaje?...

Baada ya dakika chache akaniaga..huku akinipa buku teni.. Nakumbuka nilikwea gari fasta nikashuka hosteli nikamkuta mzee namsalimia akaniuliza una uhakika ulikuwa Posta? Nikajibu ndio.. alichoniambia hiyo tabia yako uliyoianza usipoacha mapema utanijua mim ni nani.. Nilichoka moyo ulikwenda kasi...

Lakini nayaandika haya nikiwa namwomba mwl wangu raia wa kenya anisamehe mim mwanafunzi wake kwa kumnyima tunda. Pia nilikuwa sitarajii kitu kama hicho kutoka kwake..najua utakuwa unaperuzi huku ukiona huu ujumbe naomba unisamehe.

Ni mimi mwanafunzi wako!
Kumbe unatumia JF? Sawa nimekusamehe ila naomba unisaidie, japo siku moja nami furaha yangu niipata paata nakuzimia sana, natanguliza shukra, maan ulivyoniacha ile siku had leo sina bahata, nitajiona mwenye bahati kupata penzi lako, i love you baby girl
 
Kidogo niseme ndo wewe uliye sababisha tupate ziro kwenye Test ya Linguistics,, kabla ya Pasaka,kisa Kuna binti kamyima tuna na kukataa kwenda Kenya for pasaka
 
Aki kumbe una exist...
Saa hii utakuwa mhot nway bado buda anakuwaga karao??
 
Waungwana wazima?

Mimi nakumbuka mwaka 2013 nikiwa chuo mwaka wa kwanza nilijikuta naingia mkenge na mwl wangu ambae alikuwa mkenya akanikaribisha gheto kwake nikaenda tukapiga stori za hapa na pale mwl akijua atakula tunda la mwanafunzi wake nikagoma na kipindi hicho sijui hata mapenzi ni ni nilikuwa nasikia kwa watu tu..

Nakumbuka mamayangu alinipa wosia kuwa usikubali mwanaume akuchezee akikupenda mwambie twende kwa baba yangu mbezi ukajitambulishe ..mwalimu kapiga kiswahili nikawa simuelewi wakati huo nilikuwa na uhuru kidogo maana nilikuwa nakaa hosteli.

Mwalimu nakumbuka alilia akiniambia naomba tunda.. nikakataa.. akalia sana..

Baada ya kuniona nimekataa akaniambia siutalala kwangu leo nikajibu hapana..kama MUNGU vile aliniokoa Baba yangu akanipigia simu niko hapa hosteli kwenu uko wapi? Nikamjibu nipo Posta... Posta mbona kama upo sehemu yenye muziki sana? Nikasema hapan ni gari la matangazo linapita..akaguna nakupa dakika kumi nione sura yako hapa ...nikajibu sawa baba nakuja...

Mwl nikamuaga akasema okey huku akiwa amenuna kwelikweli akaniambia ngoja nitakupeleka mpaka Ubungo..tumefika hapa tanesco almanusura tupate ajali gari yake ikakwaruzwa na daladala.. nilibaki nikisema MUNGU wangu nisamehe..akaniambia usijali angetugonga angetulipa..

Akanishusha pale darajani nikamwaga.. Akashuka kwenye gari akanikumbatia akisema nakupenda sana****** .. Nilishindwa kumjibu mi nawaza Baba kaja kunitembelea nitamweleza posta nimeenda kufanyaje?...

Baada ya dakika chache akaniaga..huku akinipa buku teni.. Nakumbuka nilikwea gari fasta nikashuka hosteli nikamkuta mzee namsalimia akaniuliza una uhakika ulikuwa Posta? Nikajibu ndio.. alichoniambia hiyo tabia yako uliyoianza usipoacha mapema utanijua mim ni nani.. Nilichoka moyo ulikwenda kasi...

Lakini nayaandika haya nikiwa namwomba mwl wangu raia wa kenya anisamehe mim mwanafunzi wake kwa kumnyima tunda. Pia nilikuwa sitarajii kitu kama hicho kutoka kwake..najua utakuwa unaperuzi huku ukiona huu ujumbe naomba unisamehe.

Ni mimi mwanafunzi wako!

!
!
kwa hisaninya watu wa Marekani nimekusamehe kwa niaba yake. Haya haraka njoo PM
 
Wee utakua unajutia kumnyima mwl wa kikenya gegedeo, ulienda kuwapa wengine wakaribu mbaya hadi ukamkumbuka teacher
 
Back
Top Bottom