binti wa kirombo
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 847
- 965
- Thread starter
- #21
Kwani unaomba msamaha unajutia kumnyima?
sijutii kumnyima ,,bali ni msamaha naomba ..kuna sababu inayonifanya niombe radhi...
Kwani unaomba msamaha unajutia kumnyima?
hahahah,,, akitaka kukupa dyu dyu leo utakubali?🙄😵atajua tu ni yule manka ...
Kwani waliokoka hawatoi tunda?nimeokoka kwa sasa...namtumainia mungu
Mtu unatakiwa uombe msamaha kwa ulichokosea na si vinginevyo... WE SEMA AKISOMA NA KUKUFUATA INBOBO UTAMPA KIGEGEDEOsijutii kumnyima ,,bali ni msamaha naomba ..kuna sababu inayonifanya niombe radhi...
Ahahahahaha sema kweli...nimeokoka kwa sasa...namtumainia mungu
jembe kila utakuwa china maana hilo neon kujigijigi hahahahanimekusamehe ila bado lengo langu lipo palepale,vp tunaweza kujigijigi kwa sasa? si umeshakua mkubwa binti mzuri
Ilo tunda bado zima au lilishaozaWaungwana wazima?
Mimi nakumbuka mwaka 2013 nikiwa chuo mwaka wa kwanza nilijikuta naingia mkenge na mwl wangu ambae alikuwa mkenya akanikaribisha gheto kwake nikaenda tukapiga stori za hapa na pale mwl akijua atakula tunda la mwanafunzi wake nikagoma na kipindi hicho sijui hata mapenzi ni ni nilikuwa nasikia kwa watu tu..
Nakumbuka mamayangu alinipa wosia kuwa usikubali mwanaume akuchezee akikupenda mwambie twende kwa baba yangu mbezi ukajitambulishe ..mwalimu kapiga kiswahili nikawa simuelewi wakati huo nilikuwa na uhuru kidogo maana nilikuwa nakaa hosteli.
Mwalimu nakumbuka alilia akiniambia naomba tunda.. nikakataa.. akalia sana..
Baada ya kuniona nimekataa akaniambia siutalala kwangu leo nikajibu hapana..kama MUNGU vile aliniokoa Baba yangu akanipigia simu niko hapa hosteli kwenu uko wapi? Nikamjibu nipo Posta... Posta mbona kama upo sehemu yenye muziki sana? Nikasema hapan ni gari la matangazo linapita..akaguna nakupa dakika kumi nione sura yako hapa ...nikajibu sawa baba nakuja...
Mwl nikamuaga akasema okey huku akiwa amenuna kwelikweli akaniambia ngoja nitakupeleka mpaka Ubungo..tumefika hapa tanesco almanusura tupate ajali gari yake ikakwaruzwa na daladala.. nilibaki nikisema MUNGU wangu nisamehe..akaniambia usijali angetugonga angetulipa..
Akanishusha pale darajani nikamwaga.. Akashuka kwenye gari akanikumbatia akisema nakupenda sana****** .. Nilishindwa kumjibu mi nawaza Baba kaja kunitembelea nitamweleza posta nimeenda kufanyaje?...
Baada ya dakika chache akaniaga..huku akinipa buku teni.. Nakumbuka nilikwea gari fasta nikashuka hosteli nikamkuta mzee namsalimia akaniuliza una uhakika ulikuwa Posta? Nikajibu ndio.. alichoniambia hiyo tabia yako uliyoianza usipoacha mapema utanijua mim ni nani.. Nilichoka moyo ulikwenda kasi...
Lakini nayaandika haya nikiwa namwomba mwl wangu raia wa kenya anisamehe mim mwanafunzi wake kwa kumnyima tunda. Pia nilikuwa sitarajii kitu kama hicho kutoka kwake..najua utakuwa unaperuzi huku ukiona huu ujumbe naomba unisamehe.
Ni mimi mwanafunzi wako!
Atakusikia usijali.Waungwana wazima?
Lakini nayaandika haya nikiwa namwomba mwl wangu raia wa kenya anisamehe mim mwanafunzi wake kwa kumnyima tunda. Pia nilikuwa sitarajii kitu kama hicho kutoka kwake..najua utakuwa unaperuzi huku ukiona huu ujumbe naomba unisamehe.
Ni mimi mwanafunzi wako!
Hahahahah mmhhbado unaweza kurekebisha makosa kama ukinipa mm hilo tunda,achana na mkenya ww
Dah naona umejitahidi kuweka kiswahili cha kenya kabisa kisa tunda Hahahaha njaa mbayaNimesamehe basi ukuje unipe tunda ati kama wataka niku forgive.
haaaa haaaa haaaaa vipi neno hilo limekufurahisha sana mkuu 🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂jembe kila utakuwa china maana hilo neon kujigijigi hahahaha
Usilete mchezo na hii kitu hiiDah naona umejitahidi kuweka kiswahili cha kenya kabisa kisa tunda Hahahaha njaa mbaya