Nisamehe ewe Mwalimu

Nisamehe ewe Mwalimu

Rombo huko si nyie wote ni watoto wa kikenya,na wewe unataka kuzaa mkenya mwenzio?
 
Hukumkosea ulikuwa katika kulinda usichana wako na naamini hadi leo uko sealed
 
Khaaaa!kumnyima mtu papuchi unamuomba msamaha kwa kipi hasa?au kwako kila aombae hupewa?
 
Kwa hiyo kosa lako n kumnyma shimo? Yan ww kweli wa rombo..!!
 
kwani kumnyima mtu tunda ni kosa mpk uombe msamaha au kuna kitu zaidi ya ilo? Ombi lolote duniani lina mawili kukubaliwa au kukataliwa na yote kati ya hayo si makosa bali ni maamuzi sahihi
 
Kwahiyo umegundua kwamba ulitakiwa kumpa tunda sio?
 
Nyege hatari sana.....inakufanya uongee hata kidhungu wakati hujui..

Ona huyu anaomba msamaha eti...
 
Waungwana wazima?

Mimi nakumbuka mwaka 2013 nikiwa chuo mwaka wa kwanza nilijikuta naingia mkenge na mwl wangu ambae alikuwa mkenya akanikaribisha gheto kwake nikaenda tukapiga stori za hapa na pale mwl akijua atakula tunda la mwanafunzi wake nikagoma na kipindi hicho sijui hata mapenzi ni ni nilikuwa nasikia kwa watu tu..

Nakumbuka mamayangu alinipa wosia kuwa usikubali mwanaume akuchezee akikupenda mwambie twende kwa baba yangu mbezi ukajitambulishe ..mwalimu kapiga kiswahili nikawa simuelewi wakati huo nilikuwa na uhuru kidogo maana nilikuwa nakaa hosteli.

Mwalimu nakumbuka alilia akiniambia naomba tunda.. nikakataa.. akalia sana..

Baada ya kuniona nimekataa akaniambia siutalala kwangu leo nikajibu hapana..kama MUNGU vile aliniokoa Baba yangu akanipigia simu niko hapa hosteli kwenu uko wapi? Nikamjibu nipo Posta... Posta mbona kama upo sehemu yenye muziki sana? Nikasema hapan ni gari la matangazo linapita..akaguna nakupa dakika kumi nione sura yako hapa ...nikajibu sawa baba nakuja...

Mwl nikamuaga akasema okey huku akiwa amenuna kwelikweli akaniambia ngoja nitakupeleka mpaka Ubungo..tumefika hapa tanesco almanusura tupate ajali gari yake ikakwaruzwa na daladala.. nilibaki nikisema MUNGU wangu nisamehe..akaniambia usijali angetugonga angetulipa..

Akanishusha pale darajani nikamwaga.. Akashuka kwenye gari akanikumbatia akisema nakupenda sana****** .. Nilishindwa kumjibu mi nawaza Baba kaja kunitembelea nitamweleza posta nimeenda kufanyaje?...

Baada ya dakika chache akaniaga..huku akinipa buku teni.. Nakumbuka nilikwea gari fasta nikashuka hosteli nikamkuta mzee namsalimia akaniuliza una uhakika ulikuwa Posta? Nikajibu ndio.. alichoniambia hiyo tabia yako uliyoianza usipoacha mapema utanijua mim ni nani.. Nilichoka moyo ulikwenda kasi...

Lakini nayaandika haya nikiwa namwomba mwl wangu raia wa kenya anisamehe mim mwanafunzi wake kwa kumnyima tunda. Pia nilikuwa sitarajii kitu kama hicho kutoka kwake..najua utakuwa unaperuzi huku ukiona huu ujumbe naomba unisamehe.

Ni mimi mwanafunzi wako!
Hivi vitu huku dunia ni va kupita pamoja na wewe. Bora ungemka hiyo kitu mwalimu wa watu afurahie matunda ya kaz yake.

Nikuulize: Ivi umeliwa na wangapi mpaka sasa?
 
Back
Top Bottom