Nisaidieni, upendo unapungua kwa mume wangu

Duh huyu mwanaume anahitaji maombi Tena Yale maombi ya prayer marathon kwakweli
 
Mmhh pole jamani
 
Amina dear ,huwa nafanya maombi hata kila ijumaa tuna maombi kanisani mara chache sana kukosa labda niwe nimetingwa kazini
Mamiii unajua huduma ya anointed room??? Em ngoja nikushirikishe hili.... Hakuna linalomshinda Mungu.... Ingia insta au fb search anointed room au nenda u tube search uone masomo yao naamini yatakujenga... Na Kama utaweza jiunge na prayer marathon ukienda hizo pages nilizokuelekeza utapata maelekezo..... Kama hujaelewa Ni pm ntakuelewesha zaidi.... Sio kitu Cha kulipia hela kwamba utatapeliwa noo dear ingie huko then thank me latet
 

Hakupendi Wala hana huruma na wewe.Unaishi kwenye Moto mkali.
Usimfatefate,ishi kivyako jipende wewe na mwanao akijigutukia anaweza kujirudi ila ni kazi Sana
 
Angalia kuna uwezekano amekosa imani na wewe labda ulimsaliti au kuna viashiria vya usaliti au labda wewe ni kiburi ama ulionesha dharau na kutomuheshimu. Kama kipo kimojawapo wanaume tunapoteza upendo kwa mwanamke
 
Wewe Ni mpuuzi......
kwenye swala la kus0mesha una msapoti??? So wewe hautamsomesha mkeo hata Kama unauwezo huo??? Kesho ukifa kibudu SI watoto wako ndo watakao teseka yaan utafanya Tena mkeo afanye kazi za shurba ili wanao wale na wasome akati ungemsomesha Ni kwa manufaa ya familia yako kwa baadae???

How selfish khaaaah
 
Eeeeh Mungu Hawa wanaume wana Nini jamaniii uwiiii......

Yaan badala aface the consequences anasema kwa ajili wazazi wangu wamefariki??? Jamaniii pole maaa .... Lia na Mungu tuu mamaa ipo siku yako atakukumbuka
 
Ushauri movu sana..kwanini wanawake hamtaki ndoa za wenzenu zidumu? nilitarajia majibu hapa yawe namna ya kumbadili mumewe tofauti na option ya kuachana..!

Dada Mpe mumeo Vizuri ile kitu.. Mchanganye Kitandani!.. wanaume hapo tunakuwaga hatuna Ujanja!
 
Asome akawe nani?
 
Heee!
 
Samahani nikuulize, wewe ni dhehebu gani? Na upo mkoa gani, naweza pata basis ya kukusaidia.
MUNGU ANACHUKIA KUACHANA, mkiachana hutopata amani siku zote hadi unaingia kaburini. Msiachane na wala wakt huu sio wakati wa kuchepuka.
Acha kumdanganya.
Hata mateso Mungu hapendi pia.
 
Ahsante dear kwa ushauri ,nilivomaliza form six ndo tulianza mahusiano but tunatoka sehem moja Nyumbani ,na kipindi nimepata kazi na yeye alikuwa anafanya kazi,nikapata ujauzito ,akanambia itabidi tuoane ,kweli tulibadiliki ndoa kanisani but mimi ndo mume wangu wa kwanza ,kumbe wakati tupo kwa mahusiano alikuwa na mahusiano na wasichana wengine nilikuwa sijui ,but baadae alikuja kunambia baadhi walikuwa waislam asingeweza kuoa ,na mdogo wake wa kiume alitaka kumuoa mdogo wangu alienifuata ,akamwambia nipo na dadake nina mpango wa kuja kumuoa
 
Samahani nikuulize, wewe ni dhehebu gani? Na upo mkoa gani, naweza pata basis ya kukusaidia.
MUNGU ANACHUKIA KUACHANA, mkiachana hutopata amani siku zote hadi unaingia kaburini. Msiachane na wala wakt huu sio wakati wa kuchepuka.
Nilimuapia kwamba kama ulinikuta bikra siwezi kutemebea na mngine mbali na mume wangu ,but imefika hatua natamani kutoka na nimwtokea kama kitowapenda wanaume hata kazini najiona hii hali imaniadhiri sana ,mimi ni mmorevian but nilikuwa nasali katoliki mkarismatic ,nikabadli kwa makubaliano ya ndoa
 
Amen dear ,nilikuwa nashangaa kwa kipindi cha mwanzo but mengi ya uchoyo nimeshazoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…