Nisaidieni, upendo unapungua kwa mume wangu

Nashukuru dear kwa ushauri ingawa ni mama kijacho ,yaani kazini walikataa kunilipia masomo ya master ,ada ilikuwa milioni kama milioni kumi na tano hivi pamoja na research nililipa kama milioni 13,000,000 hivi sasa ikabaki milioni 3 nikamwomba akakataa kunipa ikabidi nikamkopa coz bank nilikuwa najua ana sh.ngapi akanipa baada ya miezi 3 alikuwa ananidai mpaka nikitoka kazini nakosa raha ya kurudi Nyumbani ,ikabidi niingie bank nikope nimrudishie ndo tukawa na amani but roho inaniuma coz kaenda kuweka bank,
Inaonesha ulikuwa na hamu sana ya kuolewa pasipo kufahamu unaolewa na mtu wa namna gani. Hapo vumilia tu hata ikibidi sali na kufunga kwa ajili yake.
 
Kuna case za kumshauri mtu aanze maombi
Ila kwa swala lako magoti yataota Sugu bure !!!!! Inaonesha dhahiri mumeo anakupenda kwa machale machale hataki kuzama yaaani yale mapenz ya kuviziana kama wachumba....pia nahisi mitandao ya kijamii inamuharibu

Dawa yake ni ndogo sitisha zawadi sijui ofa, lunch we sitisha! Anza kupendezaa vaa vizuri kisichana ,kama unalitumbo anza gym au anza tu gym ilimrad uwe busy kiroho lazima kimruke ,mda mwingine mtu akianza kukuzoea anakuchukulia poa
 
No kipindi tupo uchumba hakuwa anaonyesha hizo tabia,tulipofunga ndoa baada ya miezi kadhaa ndo nikawa nashangaa baadhi ya tabia ,mfano anaweza kufunga samaki mzima sato kama kulikuwa na kifunction kazini ,but akija nampashia kwa oven anakula pekee yake anamaliza namwangalia ,
Hapo nadhani mapenzi kwako yashapungua, kama mwanzo alikuwa ok kwa nini sasa abadilike hivi! kuna sehemu nawe pia umefanya makosa ila hujatueleza hapa. Huyo anaonekana ana kinyongo
 
Wewe Ni mpuuzi......
kwenye swala la kus0mesha una msapoti??? So wewe hautamsomesha mkeo hata Kama unauwezo huo??? Kesho ukifa kibudu SI watoto wako ndo watakao teseka yaan utafanya Tena mkeo afanye kazi za shurba ili wanao wale na wasome akati ungemsomesha Ni kwa manufaa ya familia yako kwa baadae???

How selfish khaaaah
Nitamfungulia biashara sisomeshi mwanamke labda awe dada.

Principles ndo zina m guide kila mtu kama wazazi wake hawajasomesha mimi sifanyi ujinga ambao wazazi wake hawajafanya
 
Madhara ya kuolewa sabab ya umri kwenda au kuonekana tuu na jamii umeolewa,..nna rafk yangu demu nae anapitia hvyo hvyo,
 
Pole kwa mkasa unaokusibu katika maisha always kuna pande mbili kama ilivyoshilingi. Na kama ni mumeo na mlifunga ndoa kanisani kuna haja ya kumlilia bwana, jaribu kuomba ushauri hata kene mabaraza ya watu wazma, ikiwemo hata watamushi wa kiroho, hyo grieving period ya kuhusu wazaz wake yawezekana ni kifungo alichonacho na inahitaji msaada wa kiroho au wakisaikolojia kwamana sio normal situation as it is. Wana JF weng wanasema either uondoke that is not a solution ulishajenga mji huwez kuukimbia kisa umeona panya ndani ya nyumba yamkini utaondoka hapo utaenda kwingine ambako mwanaume harud hata nyumban. Hio ndo mitihani ya ndoa na changamoto zake eb ona umekutana na kashkash lakin still umebeba mimba nyingine that means there is a happy hour too. Uvumilivu, sala, ibada, utii ndo mkombozi wako n never the less.
Amen Mpendwa nashukuru kwa ushauri
 
Hapo nadhani mapenzi kwako yashapungua, kama mwanzo alikuwa ok kwa nini sasa abadilike hivi! kuna sehemu nawe pia umefanya makosa ila hujatueleza hapa. Huyo anaonekana ana kinyongo
Naongelea kipindi cha uchumba ,but wasimamizi walinambia endelea kuvumia atabadilika ,maana niliwaeleza wasimamizi wakaja nyimbani,akaomba msamaha kuwa atabadilika tukafanya pamoja maombi but yaani kuna mengine anayafanya sijasimulia but yanaumiza sana
 
Ebu yasimulie na ayo maana nimesoma ilo la samaki nkaishia kucheka tu
Naongelea kipindi cha uchumba ,but wasimamizi walinambia endelea kuvumia atabadilika ,maana niliwaeleza wasimamizi wakaja nyimbani,akaomba msamaha kuwa atabadilika tukafanya pamoja maombi but yaani kuna mengine anayafanya sijasimulia but yanaumiza sana
 
Nitamfungulia biashara sisomeshi mwanamke labda awe dada.

Principles ndo zina m guide kila mtu kama wazazi wake hawajasomesha mimi sifanyi ujinga ambao wazazi wake hawajafanya
Kutokana na misingi aliyowekewa na wazazi wake..... Utakae mfungulia biashara Ni mama wa nyumbani na Yule ambae Ni mwajiriwa je???? Hautataka awe na a step ahead???
 
Back
Top Bottom