WEKA PICHA TUKUSAIDIE KUCHAGUAHabari gani Watanzania wenzangu.
Naomba wadau mnisaidie ushauri wenu maana nipo njia panda. Mimi ni kijana umri miaka 30. Nina wanawake (mademu) wawili ambao nawapenda sana na kila mmoja ananipenda sana.
Kwakweli nimefanikiwa kuishi nao bila wao kujua kama ninawachanganya; nimedumu nao kwa miaka miwili sasa, na wote wananiamini sana na kila mmoja anaamini nitamuoa.
Sasa umefika wakati ambapo natakiwa nianze harakati za kuoa kama kumtambulisha mchumba kwa wazazi na kumchumbia. Napata wakati mgumu nimuache yupi na nimuoe yupi; wote ni wema sana kwangu na nakosa hata sababu ya ku-force ili nimuache mmoja
Wote ni wapole; nimesubiri mmoja anikosee nimuache lakini wapi, na ninapoelekea nakarbia kubambwa kwa ujinga niliowafanyia. Sasa nitumie kigezo gani kumuacha mmoja nibaki na mmoja nimuoe?
Naombeni msaada au nitumie kigezo gani ambao nitapata sababu ya kumuacha mmoja wao maana naona naaibika sio mda mrefuu.
kwanza jivue uhusika alafu majibu utayapata mfano tuchukulieHabari gani Watanzania wenzangu.
Naomba wadau mnisaidie ushauri wenu maana nipo njia panda. Mimi ni kijana umri miaka 30. Nina wanawake (mademu) wawili ambao nawapenda sana na kila mmoja ananipenda sana.
Kwakweli nimefanikiwa kuishi nao bila wao kujua kama ninawachanganya; nimedumu nao kwa miaka miwili sasa, na wote wananiamini sana na kila mmoja anaamini nitamuoa.
Sasa umefika wakati ambapo natakiwa nianze harakati za kuoa kama kumtambulisha mchumba kwa wazazi na kumchumbia. Napata wakati mgumu nimuache yupi na nimuoe yupi; wote ni wema sana kwangu na nakosa hata sababu ya ku-force ili nimuache mmoja
Wote ni wapole; nimesubiri mmoja anikosee nimuache lakini wapi, na ninapoelekea nakarbia kubambwa kwa ujinga niliowafanyia. Sasa nitumie kigezo gani kumuacha mmoja nibaki na mmoja nimuoe?
Naombeni msaada au nitumie kigezo gani ambao nitapata sababu ya kumuacha mmoja wao maana naona naaibika sio mda mrefuu.
In the first place you are just a selfish nigga
You are such an idiot that you are playing with two of them.
You should not marry any of them as you do not deserve them, Don’t you feel anytime that you are cheating on them.
Don’t You have your self respect?
How can you do such shit and without guilt you are roaming around?
Have you ever thought of how will their lives become once they come to know that you are cheating on them. Do you realize just because of people like you, most women have lost trust in the relationships. Do you realize how shit can it be?
Do you even think just for once for being such a jerk?
I just wish you don’t see your daughter crying for the same reason once she grows up. I wish your daughter doesn’t fall for someone like you.
Just remember KARMA is there! Whatever you do will come round to you only. No one else is going to pay for your sins!
And for god sake, leave those two girls. They deserve much better human being who doesn’t lie to himself atleast in front of the mirror.
God knows how you look at yourself.
Kwa comment yako hii basi yawezekana wewe unatabia mbovu zaidi yanguNipasie mmoja mkuu ili uwe huru
Huyo jamàa hata Mimi nimempigia saluti natamani ningekuwa na hata robo ya hekima zake. Kumbe wema wapo bado duniani aiseeBro, umeoa???
Kama bado 'yes I do'..! 😀
100% atakua ndio yy..Akili Kijiko..huyo kwenye Avatar ni wewe??
Unanitisha mkuu. Lakini ni wacha Mungu wale hawawezi kufikia hukoNdio maana wanaume huwa tunarogwa!
Kwasasa namtaka mmoja tu naombeni mbinu jamani punguzeni kunilaumuMtaka yote kwa pupa hukosa yote..
Dah.nimeogopa kwa niaba yake.Yan nimehis lle unaifokea mm vile.!!dah huyu jamaa asipoomba radh baada ya kusoa hi atakua baharia ""KWERI KWERI""In the first place you are just a selfish nigga
You are such an idiot that you are playing with two of them.
You should not marry any of them as you do not deserve them, Don’t you feel anytime that you are cheating on them.
Don’t You have your self respect?
How can you do such shit and without guilt you are roaming around?
Have you ever thought of how will their lives become once they come to know that you are cheating on them. Do you realize just because of people like you, most women have lost trust in the relationships. Do you realize how shit can it be?
Do you even think just for once for being such a jerk?
I just wish you don’t see your daughter crying for the same reason once she grows up. I wish your daughter doesn’t fall for someone like you.
Just remember KARMA is there! Whatever you do will come round to you only. No one else is going to pay for your sins!
And for god sake, leave those two girls. They deserve much better human being who doesn’t lie to himself atleast in front of the mirror.
God knows how you look at yourself.
Ukiskia ngumu kumeza ndo hii kaaah nitawahudumia vipi mkuu na usawa huuu naskia hata hizo alkasusu mujarab zimeanza kupanda bei. Unataka nife mapema?AKILI KIJIKO,
Mkuu kama umewaelewa vizuri ndani ya miaka 2 waoe wrote kwa ndoa ya serikali asikudanganye mtu uwapige chini utakuja pata paka shume ukitoka nalo latoka kufanya matusi.
Karma ni kitu gani mkuu ufafanuzi kidogoAchana nao wote tafuta mwengine.kinyume na hapo karma itafanya kazi yake.
We boya kwel.Et hawajui kama unatumia jf na ushasema hiyo avater ni picha yakoWapo humu jf japo hawajui Kama namimi natumia hii JF nikiweka picha nitajivua nguo mkuu.
Picha ya kwenye Avatar haipo clear sana na jina ninalotumia hawawezi kulijuaSasa mbona umeweka picha yako kwenye avatar kama hutaki wakujue?
Hiv inakuaje mtu ana buy huu ujinga wa "nitakuoa"???Sasa kwani wote uliwapa ahadi ya kuwaoa??? Kama uliwapa ahadi ya kuwaoa wote wewe ni dhaifu sana
Kwakweli haina haja ya picha maana kwa maelezo niliyoyatoa yanatosha sana kujua kuwa ninatabia mbovu sana japo me najiona afadhali maana nilikuwa na hao wawili tuWeka picha zao, wengine tuna uwezo.wa kujua tabia ya mtu kupitia picha.
Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app