Nisaidieni nakaribia kuumbuka

Nisaidieni nakaribia kuumbuka

In the first place you are just a selfish nigga

You are such an idiot that you are playing with two of them.

You should not marry any of them as you do not deserve them, Don’t you feel anytime that you are cheating on them.

Don’t You have your self respect?

How can you do such shit and without guilt you are roaming around?

Have you ever thought of how will their lives become once they come to know that you are cheating on them. Do you realize just because of people like you, most women have lost trust in the relationships. Do you realize how shit can it be?

Do you even think just for once for being such a jerk?

I just wish you don’t see your daughter crying for the same reason once she grows up. I wish your daughter doesn’t fall for someone like you.

Just remember KARMA is there! Whatever you do will come round to you only. No one else is going to pay for your sins!

And for god sake, leave those two girls. They deserve much better human being who doesn’t lie to himself atleast in front of the mirror.

God knows how you look at yourself.

Sasa hapa umemuandikia trump ama?
Mtoa mada anakwambia kwa lugha nyingine ww unamjibu kwa lugha tofauti.

Hoja nzuri lakini umejuaje kama mtoa mada ataielewa lugha yako?
 
mimi nilikua na wawili.

mmoja ambae ni mtu mzima yani 25+, nilimwambia abebe mimba yangu eti hataki mpaka aolewe. nikamwambia tu-move in together akakataa, eti babaake hatamuelewa.

wa pili nikamtia mimba akakubali kuiacha na ndo nipo nae mpaka kesho kutwa. huyu wa kwanza nimemwacha aolewe na babaake.
Huyo wa kwanza alifanya uamuzi sahihi, huwezi kaa na mtoto wa watu kienyeji tu bila kwao kua na taarifa. Labda iwe familia ambayo haina utaratibu... Unataka mke nenda kwao kajitambulishe na fata taratibu zingine.
Sema tu ulikua unamtaftia kisingizio umuache sababu kukataa kubeba mimba kabla ya ndoa na kuishi unyumba kienyeji na wewe sio kigezo et hakufaa kua mke.
 
Huyo wa kwanza alifanya uamuzi sahihi, huwezi kaa na mtoto wa watu kienyeji tu bila kwao kua na taarifa. Labda iwe familia ambayo haina utaratibu... Unataka mke nenda kwao kajitambulishe na fata taratibu zingine.
Sema tu ulikua unamtaftia kisingizio umuache sababu kukataa kubeba mimba kabla ya ndoa na kuishi unyumba kienyeji na wewe sio kigezo et hakufaa kua mke.
kujitambulisha kupogo. lazima niishi nae pamoja kwanza nione kama tutawezana. bado nipo sahihi kwa nilichotaka kukifanya. alikua anapenda sana fights so nilitaka niishi nae at least mwaka mmoja kabla ya kwenda kichwa kichwa kwao kujitambulisha halafu nikaja kujutia maamuzi yangu.
 
kujitambulisha kupogo. lazima niishi nae pamoja kwanza nione kama tutawezana. bado nipo sahihi kwa nilichotaka kukifanya. alikua anapenda sana fights so nilitaka niishi nae at least mwaka mmoja kabla ya kwenda kichwa kichwa kwao kujitambulisha halafu nikaja kujutia maamuzi yangu.
Okay
 
Kama kunawatu walionielewa Basi wewe jamàa umenielewa vilivyo

then kabla ya kuchukua uamuzi wa kuomba ushauri humu jf sikudhani Kama nitapata mtu atakayeijua dhamira yangu kuwa kweli nimekosea lakini nahitaji njia nzuri ya kutafuta amani ya moyo. Wengi wameishia kunilaumu na kuniona mkosaji niliye dhaifu na sifai kuwa kichwa Cha familia.

Yote kwa yote nimegundua leo kambe jf Kuna watu wenye akili nyingi sana naweza sema wewe jamàa ni genius
Chonde chonde mkuu, tutakaopata shida ni sisi huku nyumbani, kwa hizi sifa sidhani kama Eyce mdogo wangu atalala nyumbani Leo..!! 😂
 
Lenie na cute eyes naomba muanze mchakato, tushaanza kukiona kisiwa kutoka baharini huku.! Mambo ni muswano, Pep ndiyo nimekubali.!! 😌
Jana ulikua na was wasi tu bure my sis, me tangia comment ya kwanza ya shem Pep aliyokujibu nilijua mtafika mbali labda kuwe na mkono wa mtu.
Nishafanya booking kadhaa, bado mambo machache tu maandalizi yatakua yamekamilika
 
  • Kicheko
Reactions: Pep
Moyo mmoja hauwezi kupenda watu 2 kwa level sawa siamini katika hilo, sema tu una ile guilty conscience kutokana na ahadi ulizowapa.
Una vigezo vya mwenza wako, compare and contrast kwenye hivyo vigezo ila anza na vile vya muhimu zaidi kwenye ndoa na maisha kwa ujumla. Mambo ya chura, rangi, shape.....vina mwisho/vinachuja umri unavyoenda.

Common interests/hobbies.....ni muhimu mno na ni msingi wa mawasiliano hamtakuwa mnaboreka, anayekufanya ucheke.... sex/watoto isiwe ndo kitu kitakachowaunganisha pekee.
Motherhood.... Kuna wanawake ambao naturally ni mama a utamjua kwenye maongezi na jinsi anavyowatreat watoto wa ndugu na marafiki zake.
Mpenda maendeleo..... kama ulimshirikisha chochote alipokeaje?? Au yeye alishaleta wazo lolote kwako?? Kiwanja, nyumba, biashara......

Muache mtoto wa watu mapema, itamuuma lakini itamsaidia huko mbeleni, muache kwa upole na jishushe haswaa. Tafadhali usimtafutie sababu ya kumuacha kubali makosa ni yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tubu waache wote Anza upya huwapendi wote waongozwa na nyege huwezi kupenda vitu viwili kiasi Cha usawa kila mtu ni unique iweje uwapende wote . Nyie wanaume kwa kujitaftia laana, ukute wadada wa watu wanakupikia, kukufuia wakifikiria ndoa
Ina maana mama Anna mghwira hujamsikia?
Labda mmoja kampenda kiunoni kwenda juu, na mwingine kiunoni kushuka chini
 
Back
Top Bottom