Nisaidieni jamani mwanamke katishia kuniua

mkuuwewe hujapata picha huyu mdada alivyonipiga mkwala alinitukana mwanzo mwisho nimeomba msamaha nahataki kunielewa sasa nimekaa tu hapa naomba asipate mimba na badae kama vipi nitaweka picha yake ili hata nikipotea mjue nani kampoteza mwana JF

Ok, iweke. Tukishajua tutaomboleza. Halafu nitaenda kuongea naye nione kama kweli anajua kuua.... RIP
 
sikuangushi kamanda wangu hizi condom demu mwenyewe ndiye alizinunua na zilikuwa ndogo kwangu so niliweza kuivaa nusu tu sasa kwenye mishemishe na speed ndio hapo condom ikatoka na wala sikuangushi mkuu

hahahahhahah lol
call me crazy
is like im watching this whole thing in the DVD
hahhahhh lol

naona leo umeamu kuchangamsha ukumbi dear ....lol
 
i swear sio fiction naweza kupost mlolongo wa meseji zote nilivyoanza kuchart naye hadi akanialikwa kwake na alivyonipa adress yake kila kitu kipo ..nnachongojea tu ni akiniambia kuwa anamimba basi nitaanza kuwaaga ila nitaendelea kujaribu kumbembeleza

Hatakuambia akishajigundua kuwa anayo ila atatuma tu watu, kitakachokuambia kuwa anayo ni pale roho yako itakapouacha mwili. cha muhimu weka picha zake pamoja na jina kabisa ili ukifa tujue muuaji wa mpendwa wetu sana Ivuga.......
 
Ok, iweke. Tukishajua tutaomboleza. Halafu nitaenda kuongea naye nione kama kweli anajua kuua.... RIP

ahahahahaha mkuu kweli utaenda kuongea naye? but fo sure mpaka sasa hivi hatujajua kuwa atapata mimba au vipi ngooja baada ya week mbili nitawapa feedback na hali halisi kama kaipata au vipi
 
Basi lililobaki na kumuomba Mungu tu ili kusiwe na ujauzito maana mara nyingi huzisikiliza sala zetu, vinginevyo ujiandale kulea na kuwa Baba kwa kila hali.

Mkuu jamaa anatakiwa ajiandae ku-RIP siyo kulea..........

Mwana unalo!!!
 
Okay kama sio fiction on your part basi ni fiction kwa upande wake yaani ilichukua siku ngapi hadi ajue kuna kitu ndani yake?; pili kama kuna kitu ndani how can she not feel any misscomfort.... I repeat kama ni kweli....., utakuwa umelengeshewa wait for the good news that you are the father "although kama ni kweli you are the father its questionable"..... Anaweza tayari alikuwa na mashaka ya mimba before meeting you.... I can smell a rat....
 
hahahahhahah lol
call me crazy
is like im watching this whole thing in the DVD
hahhahhh lol

naona leo umeamu kuchangamsha ukumbi dear ....lol

ahahahhah hii imenitokea kweli dear tarehe 21 mwezi huu kabisaaa na kama vipi nitaweka history ya meseji zetu zote
kwanza burudika na hii kitu kwa mara pa pili

Last edited by a moderator:
mkuu TANMO nadhani wewe hujui unachokiongea ungekuwa member wa kule mambo ya kikubwa na ukaona sample ya wale watotoo ninaowaweka kule sasa ndio kama huyu hapa ninayemuongelea ...ninauhakika hata akikuambia kuwa anaishi iraq-baghdad mwanamme yoyote jasiri hattosita kwenda

Tatizo hutaki kuelewa pamoja na vituko vyote vya hawa watoto, kuna mambo ya kurushwa kutoka ghorofa ya ishirini hadi chini kama ukifumaniwa na mwenye mali. Maadamu unakuwa mbishi mi nitasubiri kukabidhiwa mwili kuurudisha nyumbani, nguvu ninazo, sababu ninazo, uwezo ninao na machozi pia nitakuwa nayo.........

Shaurilo!!!
 
Hatakuambia akishajigundua kuwa anayo ila atatuma tu watu, kitakachokuambia kuwa anayo ni pale roho yako itakapouacha mwili. cha muhimu weka picha zake pamoja na jina kabisa ili ukifa tujue muuaji wa mpendwa wetu sana Ivuga.......

ila mkuu haya maneno yako kama yana kaukweli fulani hivi ee manake akiniambia kuwa ana mimba na kuna watu wanakuja kuniua sii nitatoka nduki? duh!! hapa sasa akili kumkichwa JF inavichwa manake mimi hii kitu sikuifikiria kabisa nilifikiri upande mmoja tu wa coin kuwa atanitaarifu kuwa anamimba na watu wataniibukia
 
Tatizo hutaki kuelewa pamoja na vituko vyote vya hawa watoto, kuna mambo ya kurushwa kutoka ghorofa ya ishirini hadi chini kama ukifumaniwa na mwenye mali. Maadamu unakuwa mbishi mi nitasubiri kukabidhiwa mwili kuurudisha nyumbani, nguvu ninazo, sababu ninazo, uwezo ninao na machozi pia nitakuwa nayo.........

Shaurilo!!!
hapa unarushwa kama ukienda kwam mke wa mtu ila mimi huyu mtoto namjua na anakaa mwenyewe tena floor ya tatu tu ingekuwa ya 20 unafikiri ningepeleka pua yangu basi
 
Mwambie akipata MIMBA! UTAFUNGA NAE PINGU ZA MAISHA! Acha uoga!

mim i nimebembeleza sana tu mkuu na yeye msimamo wake ni kuwa hataki kuolewa na hataki kutoa mimba na wala hataki kupata mimba so akiipata yeye solution yake ndio hiyo kuni put down tu
 
Okay kama sio fiction on your part basi ni fiction kwa upande wake yaani ilichukua siku ngapi hadi ajue kuna kitu ndani yake?; pili kama kuna kitu ndani how can she not feel any misscomfort.... I repeat kama ni kweli....., utakuwa umelengeshewa wait for the good news that you are the father "although kama ni kweli you are the father its questionable"..... Anaweza tayari alikuwa na mashaka ya mimba before meeting you.... I can smell a rat....
aa nimekupata VOr YAANI SITUATION IKO HIVI mimi nilikutana naye usiku wa tr 21 na tr 22 asubuhi ndio akanitumia meseji na kunipigia simu na kunitaarifu kuhusu hii kitu na kama mimba ni yangu lazima mtoto atajionyesha kwa sababu ni damu 2 na binadamu wawili tofauti kabisa ..kiobama kitonekana kama ni mimi na wala hilo hata halina wasiwasi tatizo limakuja kwenye huu msimamo wa huyu binti kama akipata mimba
 
hapa unarushwa kama ukienda kwam mke wa mtu ila mimi huyu mtoto namjua na anakaa mwenyewe

Unaweza kubambwa na mume au wazazi, as long as ni ngozi nyeusi basi unalo....
Kwa nini usimualike kwako?
Besides, kwa mujibu wa maelezo yako kulingana na vitisho ulivyopewa umebakiza siku chache sana za kuishi. Irushe basi picha na jina la mhusika kabla hujapotea, isije ikawa tayari jamaa wako mlangoni kwako wanajiandaa kuvunja.
 
wewe jamaa mbona unan'gn'gania sana picha yake ...nitaiweka ila sio sasa ivi kwanza nishasema kuwa demu yuko vacation na anarudi baada ya week tatu au mbili so mpaka sasa hivi siogopi kitu bado
 
wewe jamaa mbona unan'gn'gania sana picha yake ...nitaiweka ila sio sasa ivi kwanza nishasema kuwa demu yuko vacation na anarudi baada ya week tatu au mbili so mpaka sasa hivi siogopi kitu bado

Ingekuwa ni yeye atakayefanikisha huo mpango ningekuelewa kuwa una wiki mbili za kutokuogopa, ila kwa kuwa amepanga kutuma watu, ni suala tu la kupiga simu na kutoa oda! jitahidi kabla hujachelewa zaidi. Better late than never,,,,,
 
Mtoto wa Ivunga na Irina Kalashnikova hapo baada ya miaka 2 akiwa na bibi yake Tatiana Gagarina.

zebra_baby_1.jpg
 
Ingekuwa ni yeye atakayefanikisha huo mpango ningekuelewa kuwa una wiki mbili za kutokuogopa, ila kwa kuwa amepanga kutuma watu, ni suala tu la kupiga simu na kutoa oda! jitahidi kabla hujachelewa zaidi. Better late than never,,,,,

dah!! mkuu naona unafurahia hii kitu sana .sio fresh mkuu hii kitu inaweza kukutokea hata wewe kwanza wewe unaweza kukutwa ndani kwa demu na vijeba vikakushughulikia huwezi jua nn manake hata wewesi ni mwanaume? ahhahaha wewe nicheke tu ila zamu yako unaweza kuta inakuja
 
kwa kweli ni kama movie fulani hivi.tena ya comedy,iliyobaki ivuga utuwekee picha yako kwani wengine hatukufahamu ili lolote litakalotokea,angalau tumjue ivuga.inaonyesha ulikua na kiu sana na huyo m.ke,haya na huyo g.friend wako akija kujua jee?s.times mimba usiyoitaka,ndio inaingia mara moja.iliyobaki wewe subiri siku baada ya siku 14,anza kuhesabu kabisa
 
Back
Top Bottom