Nisaidieni jamani mwanamke katishia kuniua

hawezi kuwa mjamzito kama alikuwa kwenye siku zake dear..
huo ndio ukweli wa mambo..
speaking from experience hahahah lol
 
Next time kuna kitu kinaitwa morning after pills hizi anaweza akameza i think 12 au 24 hours after na sio kabla, next time uwe nazo hizi kwenye ammunition yako as i have seen wewe ni mpiganaji mzuri....

is to 28hrs dear..
u can get other one 48 hrs..
 
hawezi kuwa mjamzito kama alikuwa kwenye siku zake dear..
huo ndio ukweli wa mambo..
speaking from experience hahahah lol

mimi sio mtaalamu sema yeye kadai kuwa alikuwa kwenye siku hatari hajaniambia direct kama yuko kwenye sku zake kwa sababu ingekuwa ivi tusingeweza ku do
 
mkuuwewe hujapata picha huyu mdada alivyonipiga mkwala alinitukana mwanzo mwisho nimeomba msamaha nahataki kunielewa sasa nimekaa tu hapa naomba asipate mimba na badae kama vipi nitaweka picha yake ili hata nikipotea mjue nani kampoteza mwana JF

weka picha na cv yake leo tumjue mapema, anaweza hata leo akakumaliza au kaachia watu kazi ya kuchukua roho yako
 
Next time kuna kitu kinaitwa morning after pills hizi anaweza akameza i think 12 au 24 hours after na sio kabla, next time uwe nazo hizi kwenye ammunition yako as i have seen wewe ni mpiganaji mzuri....

asante kwa information dear
 
weka picha na cv yake leo tumjue mapema, anaweza hata leo akakumaliza au kaachia watu kazi ya kuchukua roho yako

offcourse nitaweka after all sio mmbongo so hawezi wala hakuna ndugu yake atakayeweza kuingia huku ...but for nownaomba tu kwanza asije akapata mimba ..sababu hata yeye mwenyewe hana mpango wa kufanya abortion na mimi mambio ya abortion n mwiko kwangu
 
Inatokea na naweza muelewa huyo dada,its so frustrating.Mara nyingi watu hufikiri ni makusudi ila waga ni bahati mbaya.........

Mpe muda atatulia na mtajadili vizuri lolote litakalojitokeza,lazima achanganyikiwe kwa sasa,watu wana malengo yao ati.....

Pole sana Ivuga
 
hawezi kuwa mjamzito kama alikuwa kwenye siku zake dear..
huo ndio ukweli wa mambo..
speaking from experience hahahah lol

maybe siku zake means SIKU ZAKE ZA KUPATA......, I mean after the holiday period has passed is it four days??? nikumbushe my biology seems to pass me by nowadays
 
Inatokea na naweza muelewa huyo dada,its so frustrating.Mara nyingi watu hufikiri ni makusudi ila waga ni bahati mbaya.........

Mpe muda atatulia na mtajadili vizuri lolote litakalojitokeza,lazima achanganyikiwe kwa sasa,watu wana malengo yao ati.....

Pole sana Ivuga

asante michelekwa sababu kweli ukiangalia hiyo meseji aliyoituma hapo juu ni kweli inaonyesha kabisa kuwa alikuwa kwenye shock kubwa sana na yeye anafikiri kuwa mimi hii kitu nimeiplan ati..
 
mimi sio mtaalamu sema yeye kadai kuwa alikuwa kwenye siku hatari hajaniambia direct kama yuko kwenye sku zake kwa sababu ingekuwa ivi tusingeweza ku do

If you have a 28-day cycle, for example, then you'll usually ovulate on the 14th day, counting the first day of your period as the first day of your cycle. If your period lasts seven or eight days, by the time you finish menstruating you're only five or six days away from ovulating. If you consider that sperm can live in the fallopian tube for two or three days, then you have a narrow window in which you could get pregnant if you ovulated a little earlier than normal.
 
Pole sana na shughuli nzito mkuu, cha msingi jipange kupokea matokeo n wats the way forward othrwise msome vizuri and wat she is capable of doing ujipange sawasawa...... Wish u all the best for the rest to come, nxt time uwe makin othrws u will face the reaction spot.... AJALI KAZINI.
 
sasa kama siyo mbongo unaogopa nini forener anakutishaje knye nchi yako? au wakihindi coz hawa ngio waoga sana kuzaa na ngozi nyeusi,,,,,,,,............mkuu kama umengia kwa ndugu zake na rostam watakukuomesha hawa jamaa wanaroho mbaya sana
 
hta mimi sijui kuwa aligundua saa ngapi kuwa condom ilibaki ndani ila yeye kanipigia smu na kunitumia meseji siku ya pili yake asubuhi

Ha ha ha,inaweza kaa hata wiki ukeni,hutoka mtu akichuchumaa kukojoa na nyingine inabidi hadi Dr atoe
 
Pole sana na shughuli nzito mkuu, cha msingi jipange kupokea matokeo n wats the way forward othrwise msome vizuri and wat she is capable of doing ujipange sawasawa...... Wish u all the best for the rest to come, nxt time uwe makin othrws u will face the reaction spot.... AJALI KAZINI.

nimekupata mkuu kijo na kweli hii ilikuwa ajali kazini but huyu mdada yeye hataki kuelewa kitu..yeye kaniambia namqoute" if i will get pregnant i will find some guys and they will put you down" mkuu haya maneno mazito
 
If you have a 28-day cycle, for example, then you'll usually ovulate on the 14th day, counting the first day of your period as the first day of your cycle. If your period lasts seven or eight days, by the time you finish menstruating you're only five or six days away from ovulating. If you consider that sperm can live in the fallopian tube for two or three days, then you have a narrow window in which you could get pregnant if you ovulated a little earlier than normal.

Thank you Teacher - Webale Nnyabo!
 
Back
Top Bottom