Niqab ni haramu nchini Ufaransa

Niqab ni haramu nchini Ufaransa

Status
Not open for further replies.
Inakera sana japo ni utamaduni wa kidini lakini una madhara. Maofisini unahudumia mtu hata humjui

Mahakama ya haki za binadamu barani
Ulaya imeamrisha kuendelea kutekelezwa hukumu ya kupiga
marufuku vazi la hijab linalofunika uso mzima nchini Ufaransa.

Kesi hiyo iliwasilishwa na mwanamke
mmoja mwenye umri wa miaka ishirini
na nne raia wa Ufaransa ambaye alidai kuwa marufuku hiy inakiuka haki zake za kuabudu na kujieleza.

Mahakama hiyo hata hivyo imsisitiza
kuwa Ufaransa inayo haki ya kuhifadhi
utangamano na usawa katika jamii
kwa kuweka marufuku hiyo.
Sheria hiyo iliwekwa nchini Ufaransa miaka minne iliyopita na tangu hapo
Ubelgiji imeiga.

kama unakereka sana acha kazi kwani nakuhurumia sana kwa hali ilivyo sasa tanzania kuzuia nikabu hakuna anaeweza,
 
we mzima kweli? nchi kuwa na waislam wengi haimaanishi kuwa ni ya kiislam nchi ya kiislam ni ile nchi ambayo sheria za kiislam zinafatwa

Mzima ni wewe unayesema kuwa nchii hii (Tanzania) ni ya wagalatia! Kwahivo askari wetu wavae niqab tuwe nchi ya kiisalam? Shame on you and your type!
 
unatuletea habari za miaka kadhaa iliyopita ili iwe nn!?
 
Wewe chunga sana njaa yako hilo swala unalolingilia huliwezi,nafikiri humo kichwani mwako hutumi ubongo unatumi tope jeusi
Jamani mbona una jazba mtu kaleta uzi tunatakiwa tujadili na sio kumtukana, acha kutoa lugha za uchochezi, eleza mawazo yako na wewe tukusikie
 
Siku zote wakiristo wamekuwa wakitumia nguvu,ulaghai ktk kueneza dini yao hawaoni shida kukuahidi pesa km utakubali kuwafuata dini yao ndo maana unaona ukiristo umebaki afrika kwakuwa ndio sehemu yenye matatizo mengi , dhiki ,kweli mtu aliyetimamu anaweza kumuamini kakobe au yule anaesemekana kuwa mchepuko wa mbasha!!! Mtu aliyemzima anaweza kusema yesu Mungu wakati mwenyewe anapinga vikali (luka18 : 18) ndio maana ulaya makanisa yanauzwa na wengi waliotimamu wanasilimu juu ya uislamu kuwekewa mazingira magumu na media pamoja na serikali nyingi duniani lakini ndio dini inayokuwa zaidi km alivyoahidi Allah mwenywe ,,,juu ya matatizo wanayopata wanaosilimu ikiwa kutengwa na jamii, kuachishwa kazi lakini kila leo watu wanasilimu tena watu wa hali zote masikini mpaka matajiri na wenye elimu zao, na cha ajabu nchi za nje wengi wanaosilimu ni wale walimu wa dini ,wachungaji na wale wenye degree za theolojia mfano prof khadija watson,dr timothy j winter,dr laurence brown,prof jeffrey leng,,,,tanzania mchungaji ngogo,mchungaji kessy,mtumish mwaipopo, mchungaji manoni na wote hawa walikuwa mpaka na mishahara km sio posho kanisani,walikuwa wanaangaliwa kwa malazi na mavazi lakini walijua tu kuwa hayo yote ni ya dunia wameamua kuwa waislamu wamesalimika,,tuache chuki na kugeuza geuza aya someni uislam njooni kwenye uislam km hamtaki haya hamna kulazimishana kwenye dini ,na kaburini utafukiwa peke yako
 
Na hawa ni Wagalatia?

Muammar+el-Gaddafi+virgin+female+bodyguards+1.jpg

jamaa amelamba woote hao, hahahahaa alianza kukamilisha kula wale bikraa wa ahad
 
Vazi la Niqabu haramu ufaransa.

Source: BBC
 

Attachments

  • IMG_40767952296242.jpeg
    IMG_40767952296242.jpeg
    10.2 KB · Views: 123
Unataka uone wengine, wewe usionwe!!! Uwatambue wengine wewe usitambuliwe!!! mmmh Ebu nitafakari kidogo......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom