stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,223
- 5,150
Kutoka dar, tena hilo lilichelewa sana
Juu yake anakandika mekiapuBaada ya hapo anashushia na maji ya Kandoro
Baada ya hapo anashushia na maji ya Kandoro
Acha kudanganya watu hapa wewe.kuna daladala mbovu hapa mjini toka lini?watu mna vimaneno vya kijinga jinga kweli sijui utapata nini kuwadanganya watu.mji huu una hiace kama mchanga na zote kwa %90 ni gari mpya.mashimo barabarani umeyaona wapi?kuna uchakavu wa barabara kidogo mwanzoni mwa pamba road na Lumumba road kutokana na mapolomoko ya maji ya mvua maana kuna mwinuko kidogo basi,na hazina hata point 4 za kilometer.sasa hayo mashimo ya mpaka wewe kuleta maneno hapa umeyaona wapi?
tatizo mmekariri sana yaani mtu kwenda mwanza lazima atoke dar! unsjuaje je km ametoka arusha au dodoma?
MadharauKama unaishangaa mwanza kuwa jiji siku ukifika mbeya itakuwaje?
Yeye katudanganya muda yaweza kuwa yuko Mbeya huyu hebu tuachie jiji letu lililojaa raha kesho kapripointWatanzania Tuna matatizo ... Mada ni JIJI au Muda ?
Acha kudanganya watu hapa wewe.kuna daladala mbovu hapa mjini toka lini?watu mna vimaneno vya kijinga jinga kweli sijui utapata nini kuwadanganya watu.mji huu una hiace kama mchanga na zote kwa %90 ni gari mpya.mashimo barabarani umeyaona wapi?kuna uchakavu wa barabara kidogo mwanzoni mwa pamba road na Lumumba road kutokana na mapolomoko ya maji ya mvua maana kuna mwinuko kidogo basi,na hazina hata point 4 za kilometer.sasa hayo mashimo ya mpaka wewe kuleta maneno hapa umeyaona wapi?
Toka porini huko njoo maeneo ya airport road huku ufike hata Diamond pub au Villa Park uione Mwanza.
Kuna warembo pia usisahau tena asilia sio km wa daslam wanapendeza kichina china full kujisiliba mekapu halafu wakilowa jasho anajipaka eti wao ndo kujifuta ndo maana wananuka papuchiWEWE, MWANZA NI MATATA SANA ! TEMBEA KAPIRI POINT, ILEMELA AIRPORT, PANSIASI CCM KILUMBA N.K UONE MAAJABU KTK TANZANIA HII.NILIFIKA KULE MARA YA KWANZA 2010, NIKASHANGAA KUONA ULAYA KTK AFRIKA.NILIFIKA DAR YENU HIYO LKN HAIIFIKII MWANZA 4 SURE ! MBEYA SIJAFIKA ILA MWANZA N HTR SANA ! NIPO ARUSHA ILA HATA ARUSHA HAIIFIKII MWANZA KWA UZR.ACHA T MM SIYO WA MWANZA LKN NNAONGEA UKWEL WANGU.
Kwel kabisa.Lkn warembo asilia wapo vjjn hata hapo Mwz jijin mkorogo ni a kufa mwanadam !,yan usiombe ukapanda hiace NA Ke alyejkrimu n MNUKO WA HTR SANA.Jasho, mixer chemicals from mkorogo n balaa yan.Ila kwa warembo kabisa , AISEE ARUSHA NI BALAA DADA KAPEACE.HATA MWANZA INAKAA KWA A-CIRKuna warembo pia usisahau tena asilia sio km wa daslam wanapendeza kichina china full kujisiliba mekapu halafu wakilowa jasho anajipaka eti wao ndo kujifuta ndo maana wananuka papuchi