Nipo Moshi, Bibi Kanitafutia Mdada, ananishawishi nimuoee...

Robo ya Maisha yangu niliishi Moshi-Kibosho, kuanzia Std 1-form 1. Kwa muda wote nimekuwa nikiishi na bibi.....

Sasa bhana, Tangu nije hapa kuna binti huwa anakuja hapa nyumbani anasaidia saidia kwani kuna shughuli mbalimbali zinafanyika sikukuu hii.....

Mimi sikumtia maanani, na nilijua anaweza kuwa moja ya ndugu zangu kwani tuliokuja huku ni wengi . Ni binti mdogo kama miaka 20 hivi, mwembamba black beauty na karefu hivi....

Sasa jana nikiwa na jamaa zangu tuliokuwa tumeachana kitambo tukipiga stori mbilitatu na mbege taratibu, ndipo Akaja mdogo wangu kuniambia bibi anakuita....

Nilimkuta bibi kabeba Mundu (Panga flani limepindwa mbele) akaniambia nikamsaidie kubeba mkungu wa ndizi shambani....

Tukiwa tunatembea, akaanza kuniuliza maswali ninaoa lini? Au ninataka afe ndio nioe asimuone mjukuu wake na Moli wake (mke wangu)??.....

Nilimweleza kuwa bado naweka mambo sawa, na nina muhaidi hatakufa kabla ya kuona hivyoo vyotee....

Akaniuliza Mchumba umeshampata, nikamjibu bado huku najichekeshaa...

Bibi alikuwa mbele, ndipo akageuka nyumna na kunieleza, unamuona yule binti wa fulani? Nikawa sijampata mana mabinti huku ni wengi. Akanieleza binti mwenyewe alivyo, na kuniambia, tayari ashamwambia Mama yake kuwa anataka Mjukuu wangu(mimi) amuoe binti yake....

Akasema ndio maana yupo hapa tangu umekuja. Akaniambia kamaliza form 4 hakufaulu lkn akiwa hapa kijijini, hakuwahi jihusisha na tabia mbaya, anajua kukata majani ya Ng'ombe, kufagia zizi la ng'ombe anajua kulima, kufanya usafi, kupika na anakwenda sana kanisani...

Akasema kazi zote za nyumbani hufanya yeye, na watu wa hapa kijijini wanampenda sana. Akasema niachane na vibinti vya mjini kwani ni vivivu na havijui kufanya kazi na haviogopi mungu....

Kiukweli aliongea mengi lkn kubwa ni msisitizo kuwa nimuoee. Nilimjibu tutaongea na nitafikiria kwa kuzingatia kuwa, haitakuwa busara kumkatalia au kuanza kubishana nae...

Ilinibidi nianze kufuatilia nyendo za huyu dogo na nikagundua kuwa, hata yeye alikuwa tayari alikwishwa elezwa mpango huu....

Anyway, mkasa ndio huo, kuhusu kuoa au kutomuoa hilo sintalizungumza hapa ila habari kubwa niliyokutana nayo Kibosho ndio hii.

Karibuni Mbege wakuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ilishawahi kuntokea pia asee,
 
Daaah uko kibosho ipi umbwe au kirima

Kama umbwe uko kindi au kwa raphaeli au uko mwisho wa gari lyamungo

Kama kirima uko pande zipi karibu na kibosho girls au kule kibosho hospital
 
Kufaulu form four sio kigezo cha kuwa na akili za maisha. Kuwa na akili darasani sio kigezo kuwa na akili za Maisha. Maproffesor ndio wangekuwa matajiri zaidi Duniani. Kuna watu wamefeli fomu four Ila wanamaisha mazuri kuliko wenye PhD. Pia kufeli form four sio kigezo mtu Hana akili. Angalia history ya shule alizisoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia kua tajiri sio kigezo cha kuwa na akili mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
African traditions..."Dilemma of the Ghost"by Ama Ata Aidoo.
Robo ya Maisha yangu niliishi Moshi-Kibosho, kuanzia Std 1-form 1. Kwa muda wote nimekuwa nikiishi na bibi.....

Sasa bhana, Tangu nije hapa kuna binti huwa anakuja hapa nyumbani anasaidia saidia kwani kuna shughuli mbalimbali zinafanyika sikukuu hii.....

Mimi sikumtia maanani, na nilijua anaweza kuwa moja ya ndugu zangu kwani tuliokuja huku ni wengi . Ni binti mdogo kama miaka 20 hivi, mwembamba black beauty na karefu hivi....

Sasa jana nikiwa na jamaa zangu tuliokuwa tumeachana kitambo tukipiga stori mbilitatu na mbege taratibu, ndipo Akaja mdogo wangu kuniambia bibi anakuita....

Nilimkuta bibi kabeba Mundu (Panga flani limepindwa mbele) akaniambia nikamsaidie kubeba mkungu wa ndizi shambani....

Tukiwa tunatembea, akaanza kuniuliza maswali ninaoa lini? Au ninataka afe ndio nioe asimuone mjukuu wake na Moli wake (mke wangu)??.....

Nilimweleza kuwa bado naweka mambo sawa, na nina muhaidi hatakufa kabla ya kuona hivyoo vyotee....

Akaniuliza Mchumba umeshampata, nikamjibu bado huku najichekeshaa...

Bibi alikuwa mbele, ndipo akageuka nyumna na kunieleza, unamuona yule binti wa fulani? Nikawa sijampata mana mabinti huku ni wengi. Akanieleza binti mwenyewe alivyo, na kuniambia, tayari ashamwambia Mama yake kuwa anataka Mjukuu wangu(mimi) amuoe binti yake....

Akasema ndio maana yupo hapa tangu umekuja. Akaniambia kamaliza form 4 hakufaulu lkn akiwa hapa kijijini, hakuwahi jihusisha na tabia mbaya, anajua kukata majani ya Ng'ombe, kufagia zizi la ng'ombe anajua kulima, kufanya usafi, kupika na anakwenda sana kanisani...

Akasema kazi zote za nyumbani hufanya yeye, na watu wa hapa kijijini wanampenda sana. Akasema niachane na vibinti vya mjini kwani ni vivivu na havijui kufanya kazi na haviogopi mungu....

Kiukweli aliongea mengi lkn kubwa ni msisitizo kuwa nimuoee. Nilimjibu tutaongea na nitafikiria kwa kuzingatia kuwa, haitakuwa busara kumkatalia au kuanza kubishana nae...

Ilinibidi nianze kufuatilia nyendo za huyu dogo na nikagundua kuwa, hata yeye alikuwa tayari alikwishwa elezwa mpango huu....

Anyway, mkasa ndio huo, kuhusu kuoa au kutomuoa hilo sintalizungumza hapa ila habari kubwa niliyokutana nayo Kibosho ndio hii.

Karibuni Mbege wakuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo linakuja kutafutiwa maana mke wa kutaftiwa hata akivunja glass bahati mbaya utaona Bibi amekuingiza chaka🤣🤣
 
Hahahahahahaha ni hatari ila mbona mabibi zetu walikuwa wanachukuliwa tuu na maisha yanasonga.
Mnama mimi nipo lima karibu na malanja.@general mangi
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Meku usilase damu.Mimi pia nilitafutiwa wa namna hiyo huko Marangu na sijajutia hata siku moja.
Amebadili maisha yangu sana.Abarikiwe kila aliyeshiriki kwenye mipango hiyo.
Sasa hivi tupo married miaka 14.
 
Robo ya Maisha yangu niliishi Moshi-Kibosho, kuanzia Std 1-form 1. Kwa muda wote nimekuwa nikiishi na bibi.....

Sasa bhana, Tangu nije hapa kuna binti huwa anakuja hapa nyumbani anasaidia saidia kwani kuna shughuli mbalimbali zinafanyika sikukuu hii.....

Mimi sikumtia maanani, na nilijua anaweza kuwa moja ya ndugu zangu kwani tuliokuja huku ni wengi . Ni binti mdogo kama miaka 20 hivi, mwembamba black beauty na karefu hivi....

Sasa jana nikiwa na jamaa zangu tuliokuwa tumeachana kitambo tukipiga stori mbilitatu na mbege taratibu, ndipo Akaja mdogo wangu kuniambia bibi anakuita....

Nilimkuta bibi kabeba Mundu (Panga flani limepindwa mbele) akaniambia nikamsaidie kubeba mkungu wa ndizi shambani....

Tukiwa tunatembea, akaanza kuniuliza maswali ninaoa lini? Au ninataka afe ndio nioe asimuone mjukuu wake na Moli wake (mke wangu)??.....

Nilimweleza kuwa bado naweka mambo sawa, na nina muhaidi hatakufa kabla ya kuona hivyoo vyotee....

Akaniuliza Mchumba umeshampata, nikamjibu bado huku najichekeshaa...

Bibi alikuwa mbele, ndipo akageuka nyumna na kunieleza, unamuona yule binti wa fulani? Nikawa sijampata mana mabinti huku ni wengi. Akanieleza binti mwenyewe alivyo, na kuniambia, tayari ashamwambia Mama yake kuwa anataka Mjukuu wangu(mimi) amuoe binti yake....

Akasema ndio maana yupo hapa tangu umekuja. Akaniambia kamaliza form 4 hakufaulu lkn akiwa hapa kijijini, hakuwahi jihusisha na tabia mbaya, anajua kukata majani ya Ng'ombe, kufagia zizi la ng'ombe anajua kulima, kufanya usafi, kupika na anakwenda sana kanisani...

Akasema kazi zote za nyumbani hufanya yeye, na watu wa hapa kijijini wanampenda sana. Akasema niachane na vibinti vya mjini kwani ni vivivu na havijui kufanya kazi na haviogopi mungu....

Kiukweli aliongea mengi lkn kubwa ni msisitizo kuwa nimuoee. Nilimjibu tutaongea na nitafikiria kwa kuzingatia kuwa, haitakuwa busara kumkatalia au kuanza kubishana nae...

Ilinibidi nianze kufuatilia nyendo za huyu dogo na nikagundua kuwa, hata yeye alikuwa tayari alikwishwa elezwa mpango huu....

Anyway, mkasa ndio huo, kuhusu kuoa au kutomuoa hilo sintalizungumza hapa ila habari kubwa niliyokutana nayo Kibosho ndio hii.

Karibuni Mbege wakuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Fata ushauri wa bibi, kaiona dunia kabla yako.
 
Kama alifeli form four usikute hata akili za maisha hana ,,,, think twice

Sent using Jamii Forums mobile app
My friend kuna mdada huyo alipata 0 form four...sio kwamba alifeli...ah ah...ALIPATA ZERO...

Ila mafanikio ya nyumba yake na mumewe...mchango mkubwa ni kutoka kwa huyo mwanamke...

WEWE NDIO BOGUS UNAYEDHANI AKILI ZA ZINJATHROPUS TUNAAPPLY KWENYE NDOA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom