PointMangi rudi na mke mjini ata usimtafutie sababu akikushinda unamrudisha kwao kama ulivyopewa.
Hahahaha maisha ya ndoa ni rahisi kuliko ya u single boyNakuhakikishia ndoa za hivo,hua zinadumu sana. Oa mkuu hakunaga mambo ya utayari ni sisi tunajiendekeza tu.
[emoji23]utakua wa piliSasa mangi ile bikra unayonitunzia ndo basi tena.. Unaenda kumpa mwingine???
Sent using Jamii Forums mobile app