Mgugu
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,165
- 4,404
Huwezi jua ndugu yng siku hizi dada zetu na wenyewe wanajiongeza.Mkuu Kibosho huko chura itoke wapi.
Maendeleo hayana chama
Huwezi jua ndugu yng siku hizi dada zetu na wenyewe wanajiongeza.Mkuu Kibosho huko chura itoke wapi.
Huwezi jua ndugu yng siku hizi dada zetu na wenyewe wanajiongeza.Mkuu Kibosho huko chura itoke wapi.
Shkamoo bibi, babu yetu tokea krismasi haonekani sijui huko moshi network hamna.Shemeji oa binti huyo, shukran za dhati ziende kwa bibi.
Marahaba mjukuu, babu yuko holiday mgombani.Shkamoo bibi, babu yetu tokea krismasi haonekani sijui huko moshi network hamna.
Maendeleo hayana chama
Basi mbege inamkoma huko alikoMarahaba mjukuu, babu yuko holiday mgombani.
HahaahahaShemeji oa binti huyo, shukran za dhati ziende kwa bibi.
wachaga bhana huwa wanawaachia baba zao wake zao walishe ng'ombeMangi rudi na mke mjini ata usimtafutie sababu akikushinda unamrudisha kwao kama ulivyopewa.
Wapi Imeandikwa ukifaulu f4 unakuwa na akili za maisha?Kama alifeli form four usikute hata akili za maisha hana ,,,, think twice
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua kabisa. Wanawake wanawajua wanawake wenzie Wazuri . Amekusaidia. Mshukuru Sana Bibi yako. Anza Kula na mzigoRobo ya Maisha yangu niliishi Moshi-Kibosho, kuanzia Std 1-form 1. Kwa muda wote nimekuwa nikiishi na bibi.....
Sasa bhana, Tangu nije hapa kuna binti huwa anakuja hapa nyumbani anasaidia saidia kwani kuna shughuli mbalimbali zinafanyika sikukuu hii.....
Mimi sikumtia maanani, na nilijua anaweza kuwa moja ya ndugu zangu kwani tuliokuja huku ni wengi . Ni binti mdogo kama miaka 20 hivi, mwembamba black beauty na karefu hivi....
Sasa jana nikiwa na jamaa zangu tuliokuwa tumeachana kitambo tukipiga stori mbilitatu na mbege taratibu, ndipo Akaja mdogo wangu kuniambia bibi anakuita....
Nilimkuta bibi kabeba Mundu (Panga flani limepindwa mbele) akaniambia nikamsaidie kubeba mkungu wa ndizi shambani....
Tukiwa tunatembea, akaanza kuniuliza maswali ninaoa lini? Au ninataka afe ndio nioe asimuone mjukuu wake na Moli wake (mke wangu)??.....
Nilimweleza kuwa bado naweka mambo sawa, na nina muhaidi hatakufa kabla ya kuona hivyoo vyotee....
Akaniuliza Mchumba umeshampata, nikamjibu bado huku najichekeshaa...
Bibi alikuwa mbele, ndipo akageuka nyumna na kunieleza, unamuona yule binti wa fulani? Nikawa sijampata mana mabinti huku ni wengi. Akanieleza binti mwenyewe alivyo, na kuniambia, tayari ashamwambia Mama yake kuwa anataka Mjukuu wangu(mimi) amuoe binti yake....
Akasema ndio maana yupo hapa tangu umekuja. Akaniambia kamaliza form 4 hakufaulu lkn akiwa hapa kijijini, hakuwahi jihusisha na tabia mbaya, anajua kukata majani ya Ng'ombe, kufagia zizi la ng'ombe anajua kulima, kufanya usafi, kupika na anakwenda sana kanisani...
Akasema kazi zote za nyumbani hufanya yeye, na watu wa hapa kijijini wanampenda sana. Akasema niachane na vibinti vya mjini kwani ni vivivu na havijui kufanya kazi na haviogopi mungu....
Kiukweli aliongea mengi lkn kubwa ni msisitizo kuwa nimuoee. Nilimjibu tutaongea na nitafikiria kwa kuzingatia kuwa, haitakuwa busara kumkatalia au kuanza kubishana nae...
Ilinibidi nianze kufuatilia nyendo za huyu dogo na nikagundua kuwa, hata yeye alikuwa tayari alikwishwa elezwa mpango huu....
Anyway, mkasa ndio huo, kuhusu kuoa au kutomuoa hilo sintalizungumza hapa ila habari kubwa niliyokutana nayo Kibosho ndio hii.
Karibuni Mbege wakuu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufaulu form four sio kigezo cha kuwa na akili za maisha. Kuwa na akili darasani sio kigezo kuwa na akili za Maisha. Maproffesor ndio wangekuwa matajiri zaidi Duniani. Kuna watu wamefeli fomu four Ila wanamaisha mazuri kuliko wenye PhD. Pia kufeli form four sio kigezo mtu Hana akili. Angalia history ya shule alizisoma.Kama alifeli form four usikute hata akili za maisha hana ,,,, think twice
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeomgea point sana!!Kufaulu form four sio kigezo cha kuwa na akili za maisha. Kuwa na akili darasani sio kigezo kuwa na akili za Maisha. Maproffesor ndio wangekuwa matajiri zaidi Duniani. Kuna watu wamefeli fomu four Ila wanamaisha mazuri kuliko wenye PhD. Pia kufeli form four sio kigezo mtu Hana akili. Angalia history ya shule alizisoma.
Sent using Jamii Forums mobile app