nipo mabibo external: msaada kwa mwana jf aliyekaribu

jamani nipo hapa kwanye kituo cha daladala cha external nasubiri magari ya kwenda mbagala...lakina kama mnavyojua shida ya huu mji...magari muda huu ni shida

sasa jamani mwana jf yeyote ambaye anategemea kutumia hii njia kwa gari la binafsi anisaidie kunisogeza nyumbani
Njoo River Side hapa......
 
Mimi nataka kuelekea mpanda Xmas nikipata lift hata ya kuishia Tabora nitafurahi kama mafuta nitachangia, ukisikia mtu tujuzane
 
Back
Top Bottom