Sema jinsia watakuja faster au kukupeleka kabisa wakijifanya wanapita njia hiyojamani nipo hapa kwanye kituo cha daladala cha external nasubiri magari ya kwenda mbagala...lakina kama mnavyojua shida ya huu mji...magari muda huu ni shida
sasa jamani mwana jf yeyote ambaye anategemea kutumia hii njia kwa gari la binafsi anisaidie kunisogeza nyumbani
Sema jinsia watakuja faster au kukupeleka kabisa wakijifanya wanapita njia hiyo
mimi ni me mkuuSema jinsia watakuja faster au kukupeleka kabisa wakijifanya wanapita njia hiyo
UKISHINDWA KUACHA HIYO ZAMBI, BASI SUBIRI JEHANAMU YA MOTO! LAKINI NJIA YA KUISHINDA HIYO DHAMBI NI YESU TUU! HATA MIMI NILISHINDA KWA NJIA HIYO! UKIMWITA YESU KAMA UJAOKOKA NENDA UKAOKOKE! NAKWAMBIA! BADALA YA KUTAMANI UZINZI UTAANZA KUSIKIA KICHEFU CHEFU!jamani nipo hapa kwanye kituo cha daladala cha external nasubiri magari ya kwenda mbagala...lakina kama mnavyojua shida ya huu mji...magari muda huu ni shida
sasa jamani mwana jf yeyote ambaye anategemea kutumia hii njia kwa gari la binafsi anisaidie kunisogeza nyumbani
Duh!!....ushakosa msaada tayari!mimi ni me mkuu
mkuu kuwa na huruma basi...mimi nilikuwa nasubiri gari unaniita mzinzi?! anyway....nashkuru kwa ushauriUKISHINDWA KUACHA HIYO ZAMBI, BASI SUBIRI JEHANAMU YA MOTO! LAKINI NJIA YA KUISHINDA HIYO DHAMBI NI YESU TUU! HATA MIMI NILISHINDA KWA NJIA HIYO! UKIMWITA YESU KAMA UJAOKOKA NENDA UKAOKOKE! NAKWAMBIA! BADALA YA KUTAMANI UZINZI UTAANZA KUSIKIA KICHEFU CHEFU!
nimepata nkuu..thanksMimi natokea tegeta naenda mbande vp ushapata usafiri mkuu?
nimepata mkuu...thanksUmeshakosa tayari
Mkuu nadhani umechanganya mada, jamaa anaomba lift, kwani kuomba lift ni dhambi mpaka mtu aende jehanamu?UKISHINDWA KUACHA HIYO ZAMBI, BASI SUBIRI JEHANAMU YA MOTO! LAKINI NJIA YA KUISHINDA HIYO DHAMBI NI YESU TUU! HATA MIMI NILISHINDA KWA NJIA HIYO! UKIMWITA YESU KAMA UJAOKOKA NENDA UKAOKOKE! NAKWAMBIA! BADALA YA KUTAMANI UZINZI UTAANZA KUSIKIA KICHEFU CHEFU!
wakuu nimepata....asanteni wote waliokuwa na nia ya kunisaidia....sasa hivi nipo mikono juu mwendo wa.mateka...
jamani nipo hapa kwanye kituo cha daladala cha external nasubiri magari ya kwenda mbagala...lakina kama mnavyojua shida ya huu mji...magari muda huu ni shida
sasa jamani mwana jf yeyote ambaye anategemea kutumia hii njia kwa gari la binafsi anisaidie kunisogeza nyumbani
Mkuu nadhani umechanganya mada, jamaa anaomba lift, kwani kuomba lift ni dhambi mpaka mtu aende jehanamu?