nipo mabibo external: msaada kwa mwana jf aliyekaribu

Socw

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
1,304
2,582
jamani nipo hapa kwanye kituo cha daladala cha external nasubiri magari ya kwenda mbagala...lakina kama mnavyojua shida ya huu mji...magari muda huu ni shida

sasa jamani mwana jf yeyote ambaye anategemea kutumia hii njia kwa gari la binafsi anisaidie kunisogeza nyumbani
 
Sema jinsia watakuja faster au kukupeleka kabisa wakijifanya wanapita njia hiyo
 
jamani nipo hapa kwanye kituo cha daladala cha external nasubiri magari ya kwenda mbagala...lakina kama mnavyojua shida ya huu mji...magari muda huu ni shida

sasa jamani mwana jf yeyote ambaye anategemea kutumia hii njia kwa gari la binafsi anisaidie kunisogeza nyumbani
UKISHINDWA KUACHA HIYO ZAMBI, BASI SUBIRI JEHANAMU YA MOTO! LAKINI NJIA YA KUISHINDA HIYO DHAMBI NI YESU TUU! HATA MIMI NILISHINDA KWA NJIA HIYO! UKIMWITA YESU KAMA UJAOKOKA NENDA UKAOKOKE! NAKWAMBIA! BADALA YA KUTAMANI UZINZI UTAANZA KUSIKIA KICHEFU CHEFU!
 
wakuu nimepata....asanteni wote waliokuwa na nia ya kunisaidia....sasa hivi nipo mikono juu mwendo wa.mateka...
 
UKISHINDWA KUACHA HIYO ZAMBI, BASI SUBIRI JEHANAMU YA MOTO! LAKINI NJIA YA KUISHINDA HIYO DHAMBI NI YESU TUU! HATA MIMI NILISHINDA KWA NJIA HIYO! UKIMWITA YESU KAMA UJAOKOKA NENDA UKAOKOKE! NAKWAMBIA! BADALA YA KUTAMANI UZINZI UTAANZA KUSIKIA KICHEFU CHEFU!
mkuu kuwa na huruma basi...mimi nilikuwa nasubiri gari unaniita mzinzi?! anyway....nashkuru kwa ushauri
 
UKISHINDWA KUACHA HIYO ZAMBI, BASI SUBIRI JEHANAMU YA MOTO! LAKINI NJIA YA KUISHINDA HIYO DHAMBI NI YESU TUU! HATA MIMI NILISHINDA KWA NJIA HIYO! UKIMWITA YESU KAMA UJAOKOKA NENDA UKAOKOKE! NAKWAMBIA! BADALA YA KUTAMANI UZINZI UTAANZA KUSIKIA KICHEFU CHEFU!
Mkuu nadhani umechanganya mada, jamaa anaomba lift, kwani kuomba lift ni dhambi mpaka mtu aende jehanamu?
 
jamani nipo hapa kwanye kituo cha daladala cha external nasubiri magari ya kwenda mbagala...lakina kama mnavyojua shida ya huu mji...magari muda huu ni shida

sasa jamani mwana jf yeyote ambaye anategemea kutumia hii njia kwa gari la binafsi anisaidie kunisogeza nyumbani

Acha uzushi panda daladala, mimi nakaa mbagala ila nipo nakula pombe hapa sinza double view hotel, sijui nitaondoka saa ngapi, kama vp nisubili kama unaweza
 
Njoo Manzese hapa Erado hotel, nimevaa Tisheti nyeusi nimekua karibu na Kaunta, kuna Bia za Promotion hapa, hakuna watu kabisa
 
Back
Top Bottom