Nipo kwenye wakati mgumu kwenye mapenzi

Nipo kwenye wakati mgumu kwenye mapenzi

Nahisi mleta mada degree yake itakuwa ya centigrade sio hizi za kawaida....
 
Kwanza kumbuka mmetoka wapi na huyo wa kwanza,na pia kawakataa wangapi kwa ajili yako. Kama ni wazur mbona watakuja wengi tu. Hata huyu ambae uko nae waweza kumuona hafai endapo kitatokea kisu kingne. Hebu fikiria mda mlioish na yule wa kwanza.leo unamwacha hewan,? Ati umepata kisu kikal zaid.. Hebu rudi upesi,mweleze huyu ukweli.
 
watu wengine ndo maana huwa mnarogwa.
 
I hope you are not cheating to your girlfriend but at the end of the day you will need to decided what is better for you. You will have to be with the girl you like but need to be very respectful and make sure the other girls understands why it will not work out.
 
nipe namba ya huyo ambaye unahisi humpendi nikusaidie
 
Daah mapenzi bhana Daah, minakushauri tu mkuu baki na mpenzi wako wa zamani na umpende sana tu aisee
 
hio degree application yake hakuna hapo....tumia akili tu ya kawaida oa mwanamke sio mwanamke mzuri
 
ha ha ha/... Bableyy umekula za uso leo..khaaa!
 
Last edited by a moderator:
Habari wadau.

Nina girlfriend wangu ambae tumetoka mbali inafika miaka minne toka tuko chuo, sasa nipo wakati mgumu baada ya kupata kazi na kukutana na demu mwengine ambae alinipenda nakujikuta nimeazisha nae uhusiano, na kitu cha kuniumiza zaidi huyu demu wangu mpya ni mkali zaid ya yule wa mwanzo, na anataka tuishi wote kwake alipopanga, sasa girl frnd wng wa kwanza akija inakuwaje yeye anaishi zanzibar.

Naomba ushauri wadau

Hahahaha eti ni mkali, utakuwa hujakuwa wewe.Subiri ukikua utapewa ushauri kwa sasa endelea kutafuta wakali
 
Habari wadau.

Nina girlfriend wangu ambae tumetoka mbali inafika miaka minne toka tuko chuo, sasa nipo wakati mgumu baada ya kupata kazi na kukutana na demu mwengine ambae alinipenda nakujikuta nimeazisha nae uhusiano, na kitu cha kuniumiza zaidi huyu demu wangu mpya ni mkali zaid ya yule wa mwanzo, na anataka tuishi wote kwake alipopanga, sasa girl frnd wng wa kwanza akija inakuwaje yeye anaishi zanzibar.

Naomba ushauri wadau

dume zima unaumizwa kichwa na tudemu tuwili?!.piga wote wewe.ebooo!!!
 
elimu ya siku hizi ni kwisheni kabisa, graduate analeta mada kama ya mtoto wa sekondari!
 
Back
Top Bottom