Nipo kwenye wakati mgumu kwenye mapenzi

Nipo kwenye wakati mgumu kwenye mapenzi

kwa hiyo umeamua kuolewa ndugu?!!! basi ukubali na kukuna Nazi!!!!!
 
hahahaaaa wew tudemu tungapi ndio tunakuumiza kichwa mkuu

yaani mimi kabla sijamuoa "my waifu wangu",miaka michache iliyopita,nilikuwa "nawapangaga" mpaka watano na wote nilikuwa nawamudu,hawakuwahi kuniumiza kichwa.nilikukuwa chonjo sana kutokugonganisha magari.kwa sasa wamebaki wawili,mama watoto wangu na "kamchepuko" kamoja.period.
 
Mtoa mada,wewe ni bw_g_
Mungu akusaidie uelewe kuwa usaliti ni dhambi,tena dhambi
ni tamu kwa kitambo.
 
Believe mi.huyo unamuona mkali ss
Atakuja kukuliza mbeleni...bora ubaki na hyo uliyekaa nae miaka 4

Ndo maana huwa mnarogwa
 
Acha ufala wa kwenda kuishi kwa demu...

Aliyekupenda kipindi huna lolote ndie wakweli...

Achana na hayo mapenzi ya msimu

Habari wadau.

Nina girlfriend wangu ambae tumetoka mbali inafika miaka minne toka tuko chuo, sasa nipo wakati mgumu baada ya kupata kazi na kukutana na demu mwengine ambae alinipenda nakujikuta nimeazisha nae uhusiano, na kitu cha kuniumiza zaidi huyu demu wangu mpya ni mkali zaid ya yule wa mwanzo, na anataka tuishi wote kwake alipopanga, sasa girl frnd wng wa kwanza akija inakuwaje yeye anaishi zanzibar.

Naomba ushauri wadau
 
yaani mimi kabla sijamuoa "my waifu wangu",miaka michache iliyopita,nilikuwa "nawapangaga" mpaka watano na wote nilikuwa nawamudu,hawakuwahi kuniumiza kichwa.nilikukuwa chonjo sana kutokugonganisha magari.kwa sasa wamebaki wawili,mama watoto wangu na "kamchepuko" kamoja.period.

And the award of the year,goes to...Kadoda11!
 
Hivi ilishatokea mwanaume akakataa p.ussy on this earth?....sijawahi ona mpwa!...piga mizigo huo
 
Habari wadau.

Nina girlfriend wangu ambae tumetoka mbali inafika miaka minne toka tuko chuo, sasa nipo wakati mgumu baada ya kupata kazi na kukutana na demu mwengine ambae alinipenda nakujikuta nimeazisha nae uhusiano, na kitu cha kuniumiza zaidi huyu demu wangu mpya ni mkali zaid ya yule wa mwanzo, na anataka tuishi wote kwake alipopanga, sasa girl frnd wng wa kwanza akija inakuwaje yeye anaishi zanzibar.

Naomba ushauri wadau

kinachokusumbua ni hicho hapo kwenye red,
Kila mwanamke atakayekwambia hamia kwangu unachanganyikiwa? watoto wa siku hizi mna matatizo ya akili sana.
dont be gigolo, stand up and be a man!
 
Acha ungese wewe. Kama umepata mwingine kuwa wazi na wa kwanza ili aamue maisha yake. Umempotezea miaka minne huna subira wala uaminifu kabisa. Unataka ushauri gani hapa?
 
Kuna mtu kashamaliza huko juu, kwamba makali atakuwa anatoa makofi sana teh teh teh. nyuzi nyingine !!!!
 
Nina degree
Kwa hiki ulichoandika hakiwiani na elimu yako mkuu ndio maana watu wameuliza elimu yako. Waweza hisi wanakudharau lkn hoja yako ndio iliyowapelekea wao kuuliza maswali ya kuudhi.

Back to topic, jiulize ingekua wewe umetendewa hayo ungejisikiaje au ungechukua hatua gani.
 
Huyo mbulula hana degree, yeyote!! mimi ninamjua mwazo mwisho.
 
Ukiwa mwanaume kutamani huwa hakuiishi. I can assure you, keshi au kesho kutwa utaona mwingine mkali kuliko huyo.

Kitu cha muhimu ni kuridhika na huyo uliyenaye kwa sababu wanawake wazuri wengi mno huko duniani. Kuna mambo makubwa kwenye mahusiano kuliko na uzuri. Tumia akili
 
Back
Top Bottom