Nipo kwenye wakati mgumu kwenye mapenzi

Nipo kwenye wakati mgumu kwenye mapenzi

Habari wadau.

Nina girlfriend wangu ambae tumetoka mbali inafika miaka minne toka tuko chuo, sasa nipo wakati mgumu baada ya kupata kazi na kukutana na demu mwengine ambae alinipenda nakujikuta nimeazisha nae uhusiano, na kitu cha kuniumiza zaidi huyu demu wangu mpya ni mkali zaid ya yule wa mwanzo, na anataka tuishi wote kwake alipopanga, sasa girl frnd wng wa kwanza akija inakuwaje yeye anaishi zanzibar.

Naomba ushauri wadau

...wakati unawatongoza hukufikiria kuhusu litakalotokea wakijuana. Mwanaume gani huwezi kupanga kesho yako utaweza kukaa na mke we dogo kweli...?!
 
Cha msingi, interval uliyotoka nayo yule wa kwanza na jinsi gani mliishi na mipango yenu ikoje. Ila kama wewe ni BOYA wa kubadili mawazo hata huyo utamwacha pindi ukihamishwa kitengo na kukutana na mwingine mkali tena.
 
Jipange, kwa staili hii hutafika mbali. Mtaka nyingi nasaba - hupata mingi misiba.
Habari wadau.

Nina girlfriend wangu ambae tumetoka mbali inafika miaka minne toka tuko chuo, sasa nipo wakati mgumu baada ya kupata kazi na kukutana na demu mwengine ambae alinipenda nakujikuta nimeazisha nae uhusiano, na kitu cha kuniumiza zaidi huyu demu wangu mpya ni mkali zaid ya yule wa mwanzo, na anataka tuishi wote kwake alipopanga, sasa girl frnd wng wa kwanza akija inakuwaje yeye anaishi zanzibar.

Naomba ushauri wadau
 
Kilasiku miye nawaona wazuri kuliku huyu niliyenaye ila navumilia kwa kuwanilishaamuha huyu ndiye wangu daaima labda akileta dharau na kutonihudumia kama mwanamke
 
Habari wadau.

Nina girlfriend wangu ambae tumetoka mbali inafika miaka minne toka tuko chuo, sasa nipo wakati mgumu baada ya kupata kazi na kukutana na demu mwengine ambae alinipenda nakujikuta nimeazisha nae uhusiano, na kitu cha kuniumiza zaidi huyu demu wangu mpya ni mkali zaid ya yule wa mwanzo, na anataka tuishi wote kwake alipopanga, sasa girl frnd wng wa kwanza akija inakuwaje yeye anaishi zanzibar.

Naomba ushauri wadau

mkali kuzidi pilipili???
 
Back
Top Bottom