kabugira
JF-Expert Member
- May 14, 2014
- 1,186
- 659
Habar wadau, Nina girl friend wng ambae tumetoka mbali inafika miaka minne toka tuko chuo, sasa nipo wakati mgumu baada ya kupata kazi na kukutana na demu mwengn ambae alinipenda nakujikuta nimeazisha nae uhusiano, na kitu cha kuniumiza zaid huyu demu wng mpya ni mkali zaid ya yule wa mwanzo, na anataka tuishi wote kwake alipopanga, sasa girl frnd wng wa kwanza akija inakuwaje yeye anaishi zanzibar..... naomba ushauri wadau
Kuna mkali kulikp huyo pande za kisarawe njoo nikupeleke naye uwe unalala kwake!