miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,110
wavulana wa cku hz ni shida tupu....nyie ndo mnafanya wenzenu waje wachukie wanaume
Habar wadau, Nina girl friend wng ambae tumetoka mbali inafika miaka minne toka tuko chuo, sasa nipo wakati mgumu baada ya kupata kazi na kukutana na demu mwengn ambae alinipenda nakujikuta nimeazisha nae uhusiano, na kitu cha kuniumiza zaid huyu demu wng mpya ni mkali zaid ya yule wa mwanzo, na anataka tuishi wote kwake alipopanga, sasa girl frnd wng wa kwanza akija inakuwaje yeye anaishi zanzibar..... naomba ushauri wadau

Bado haujajua mapenzi nahisi tamaa za mwili bado zinakusumbua, ukishajitambua utajua yupi ni mkali kati ya hao wawili na utafanya uamuzi hautachanganyikiwa tena
Nina degree
Itakuwa ulisoma shule za st. Hizi mapenzi umeanza chuon
Huyu hajielew anataka nini, tukimuuliza ukali wa huyo mwanamke uko kwenye nini tutaishia kusikia sura, amewezaje kukaa na mwanamke miaka 4 ambaye sio mkali?muulize umri wake mkuu.. atakua kaanza kazi juzi... mshahara bado unamsumbua huyu
Huyu hajielew anataka nini, tukimuuliza ukali wa huyo mwanamke uko kwenye nini tutaishia kusikia sura, amewezaje kukaa na mwanamke miaka 4 ambaye sio mkali?