Pole mwaya basi fanya ufunge kama Yesu tuTatizo faranga dada,posho yote itaishia njiani,ukirudi nyumban huna kitu
Jamani kwani ukifunga unashindwa kufanya kazi mfano ahaa bwnaSasa nikifunga gari ntaendeshaje,ni vile tu sijabeba jiko this time,next time lazma nibebe
Vita sio kongo yote vita hasa kaskazini, kusini kupo shwari mfano lubumbashini balaa.. then nje huko kuna vita vinaendelea ..bora kurudi tu home
Kwahio ni nyama ya mtu mkuuUjue huko Congo wale Mbilikimo wakaao msituni huliwa pia,,,,
Dah wakongo wamenishinda aiseh.....bora nishinde na njaa au nile wali mkavu![]()
![]()
![]()
mie nahisi biriani nyama ya sokwe mtu
Pole mkuuKuendesha tenk lenye tani za mafuta huku una njaa si kazi rahis
Hahaha Hawa jamaa msosi zeroDah wakongo wamenishinda aiseh.....bora nishinde na njaa au nile wali mkavu
Lubumbashi, watu wako busy kutafuta MakutaVita sio kongo yote vita hasa kaskazini, kusini kupo shwari mfano lubumbashi
Hiyo namba 3 6 9 hata sijaelewa