Nipo hotelini sijui nile nini(CONGO)

Nipo hotelini sijui nile nini(CONGO)

Na ninyi mtafika huko kwa kushupalia ufugaji wa vyura kule Kihansi badala ya samaki
 
bakuli na mwiko uliopikia panya au kono kono ndio hilo hilo litakupikia bugali au nyani ..kiruuuu
 
Na ninyi mtafika huko kwa kushupalia ufugaji wa vyura kule Kihansi badala ya samaki
Hao viyura huwa wanazaa watoto wazima. Sasa mimi huwa najiuliza nini cha ajabu wakati tayari tunao binadamu wanaozaa watoto wazima? Kwa nini vyura watunzwe kuliko binadamu, kisa eti wanazaa watoto wazima?
 
Namba nane naona itakufa zaidi hahaha hahaha hahahahah
 
Back
Top Bottom