Nipo hotelini sijui nile nini(CONGO)

Nipo hotelini sijui nile nini(CONGO)

hahahahahaaa hiyo menu tu nimecheka sana
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

hamna chipsi bumayai au wali bukuku
 
Jamaa noma wanakula mpaka chatu
 
3 na 8 vya gharama ndio halali ila ivyo vya bei rahisi sio kabisaaaaaaaaaaaaa
 
ndugu ulege nyama ukiwa hapa bongo kwenye nchi za watu huko usithubutu....!!!niliwahi kwenda gabon aisee wale jamaa kila mnyama wao kwao msosi na hawana noma wala nini..
 
ndugu ulege nyama ukiwa hapa bongo kwenye nchi za watu huko usithubutu....!!!niliwahi kwenda gabon aisee wale jamaa kila mnyama wao kwao msosi na hawana noma wala nini..
Sasa sie ambao kama sijala nyama msosi hauendi si ndio kufa na njaa mkuu
 
Yes ,hasa pale Ngwasuma kamalondo watu wanatumia mpk dola elf mbili usiku mmoja
Kama leo kamalondo ni full kujiachia
Tp Mazembe wanakipiga na SC. Vita
Mtu Chake tuonane hapo mie nitawahi nitafune kwanza michopo ndio niingie kwenye game
 
hahahahaaa,, kudadadekii,, kweli bana ba kongo ni banoma
 
Kama leo kamalondo ni full kujiachia
Tp Mazembe wanakipiga na SC. Vita
Mtu Chake tuonane hapo mie nitawahi nitafune kwanza michopo ndio niingie kwenye game
Tiketi ninayo utakua wapi ,SAA saba Niko kamalondo,Fanya hivyo mkuu
 
Back
Top Bottom