labda ule bugali kima au waambie wakupatie supu ya konokono nilikula mwaka juz nzuri saaaaana
Ndio maana Ebola imefanya makazi huko Congo maana nyama ya nyani inaliwa kwa wingi.labda ule bugali kima au waambie wakupatie supu ya konokono nilikula mwaka juz nzuri saaaaana
Kama ndo mara ya kwanza Bugali kima au wali kima unamfaa zaidi, supu ya konokono anaweza kutapika mpaka utumbolabda ule bugali kima au waambie wakupatie supu ya konokono nilikula mwaka juz nzuri saaaaana
Piga Ugali Kima mkuu.
kula namba tatu hayo mengine unayoyajua yapotezee
Ujue huko Congo wale Mbilikimo wakaao msituni huliwa pia,,,,BIRAI SOKOMUTU ndio nini? Mbona ina bei kubwa kuliko au ndio pizza kwa kikongo
Umemshauri vzur!kula namba tatu hayo mengine unayoyajua yapotezee