Duuuuh, mnamkatisha tamaaUtapoteza muda tu mkuu, hakuna fundi bora wa IC
Pia nina simu yenye IC mbovu. So hakuna mafundi wa IC DSM?Utapoteza muda tu mkuu, hakuna fundi bora wa IC
Daaaah, this is to say mafundi wa kweli wapo Ulaya na China tu sio?Fundi wa kweli NI yule aliyeitengeneza hyo simu kutoka kiwandani tu.
Hawa wengine ni waganga njaa.
Wajanja wajanja.
Daaaah, this is to say mafundi wa kweli wapo Ulaya na China tu sio?
Manzese wapo sehemu gani mkuu?Unaweza ukapeleka simu kariakoo mafundi wakashindwa.
Simu hyo hyo ukaipeleka kwa fundi mansese akaweza.
Ufundi simu ni mchezo wa kubahatisha
Manzese wapo sehemu gani mkuu?
Anapatikana wapi?Kuna jamaa huku nifundi aliwahi nipa ushauri wa simu yangu mpaka leo nafaidika kwa ushauri wake alionipa, najari ku mtag hapa ID yake siioni
DsmAnapatikana wapi?
Ushapata ufumbuzi?Oooh! Hope ni zile office ambazo pia huwa na computer maalumu za kuchunguza na ku test machine za simu si ndio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kupelekana wapi??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaMafundi wa K.koo ni wazeee wa ku replace, kwa kureplace tu hawajambo ila uwape tatizo lako hilo la kiutu uzima wasipoenda kuimalizia hiyo simu basi mtaishia kupelekana Polisi.
Ulienda k.koo ikashindikana?
Ndio, shida ni AC, inatakiwa kuwekwa upya, ni AC ndogo mno zinazohitaji ufundi wa hali ya juuUlienda k.koo ikashindikana?
Kuna sim imekufa kioo inauzwa jiwe unapata circuit nzimaNdio, shida ni AC, inatakiwa kuwekwa upya, ni AC ndogo mno zinazohitaji ufundi wa hali ya juu
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Yangu ni Samsung note 4 mkuu. Hiyo simu ni note 4 Samsung?Kuna sim imekufa kioo inauzwa jiwe unapata circuit nzima
Yes, ila ina data zangu conf. So unafungiwa mashine tunaifomati unaondoka zakoYangu ni Samsung note 4 mkuu. Hiyo simu ni note 4 Samsung?