Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,281
- Thread starter
- #41
Mbona hajibu? Anakimbia maswali huyu jamaa.!Inawezekana kuroot Xiaomi redmi note 8, halafu uweke global rom?
Mbona hajibu? Anakimbia maswali huyu jamaa.!Inawezekana kuroot Xiaomi redmi note 8, halafu uweke global rom?
Ngoja tumsubiriMbona hajibu? Anakimbia maswali huyu jamaa.!
Wewe kimekuuma niniBro acha njaa,yaan note 4 ndo unajaza saver za jf..yaan hzo cm watu tumetumia karibia miaka mitano iliyopita..achana na hyo simu bora ukanunue hata tecno tu
Ndiyo inawezekana,Inawezekana kuroot Xiaomi redmi note 8, halafu uweke global rom?
Nimeshamjibu na namba zangu nimeweka mkuuMbona hajibu? Anakimbia maswali huyu jamaa.!
Hapo hapo kkoo sema umtafute mwenyewe, maana wengi wenu mnawafata hawa madalali wanaoweka meza nje ingia ndani ndani utaona ofisi inayojishughurisha na ufundi simu mara nyingi inakua na vifaa vya kutoshaNa kwa hapa Dar, hao mafundi og naweza kuwapata wapi mkuu?
Poa poaNdiyo inawezekana,
Kama upo Dar fika ofisini kkoo mitaa ya Likoma na Aggrey
Ukifika nicheki kwenye 0712455554
Bei inategemea na anayekuuzia, binafsi nadili na Software na wewe tatizo lako ni la hardware,Kubadili circuit yaweza kuwa bei gani mkuu? Na je, circuit ambayo nitaiweka kama mbadala itakuwa ni ya samsung note 4 ile ile?
Na huo ndio ubabaishaji wenyewe.Tatizo mnafikia kwa madalali, maana dalali ndo anajua fundi wa uhakika anapatikana wapi, mimi kuna siku nilifika nikaulizia fundi simu mtaalamu wa software, wakanipeleka lakini cha ajabu akaniambia hana software yake
Nikaamua kuipeleka kwa mtaalamu wangu ninayemjua mimi yupo Moro huko ndo akaiflash ikawaka
Ila kwa sasa na mimi pia ni mtaalamu wa upande wa software ila kwa ishu ya mtoa mada namshauri abadili circuit
Ingekua ni ishu ya software ningemwambia aje ofisini maana kuna watu wengi tu huwa wanaelekezwa kwangu nawatatulia shida zao za software
Kama kumuachia simu muachie fundi mwenye fremu ambaye siku zote anaingia kazini, hapa jirani na ofisi yangu kuna Emma na Eddy hawa wapo siku zoteNa huo ndio ubabaishaji wenyewe.
Ni kweli mafundi wazuri wapo ila ndiyo udalali kitu..na ujjnga wao ukimuachia simu usishangae vitu unabadilishiwa. Ndio maana Kkoo sio option kabisa.
Yes kwa case ya jamaa hapo hana ujanja ni kubadili tu.
Safi. Sasa vema uweke na namba yako.Kama kumuachia simu muachie fundi mwenye fremu ambaye siku zote anaingia kazini, hapa jirani na ofisi yangu kuna Emma na Eddy hawa wapo siku zote
Ila ukiwafata hawa madalali wanaoweka meza nje tarajia kupigwa na kitu kizito
Mafundi wa uhakika tupo sema inabidi muingie kwenye fremu za ndani ndani ndo mtatupata
Mafundi wengi wana uswahili kwakuwa ni mafundi njaa..akiona kazi hawezi anakuwa muongo kila siku..kumbe kazi kapeleka kwa mafundi wenzie wamsaidie..huko pia wanakua na kazi nyingi hivyo naye hujikuta kwenye foleni.Safi. Sasa vema uweke na namba yako.
Maana mimi binafsi niliacha kufika Kkoo kwanza na ile atmosphere yake inakera. Ni kweli mwenye fremu ni nafuu kumuamini.
Japo binafsi nimewahi kuzinguana na ambaye ana fremu na ndanindani uleule mtaa wa Aggrey. Alikua mbabaishaji kwenye kazi kila siku Kiswahili japo nilipata simu yangu ikiwa sawa.
Tatizo lingine la mafundi wengi ni uswahili uswahili hasemi ukweli.
Najua sana, sina njaa na ndio maana I am ready hata kugharamia kwa laki 3 ikibidi. Nimeipenda note 4. Ni yangu hata ikibidi nitoe 400k ili ipone. Hope umeelewa.!Bro acha njaa,yaan note 4 ndo unajaza saver za jf..yaan hzo cm watu tumetumia karibia miaka mitano iliyopita..achana na hyo simu bora ukanunue hata tecno tu
Nimemshangaa sana huyu jamaa. Ananishauri nitumie hata tecno tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe kimekuuma nini
Wengine tunatumia simu ya miaka 10 iliyopita
Shukrani kwa hilo boss!Nimeshamjibu na namba zangu nimeweka mkuu
Oooh! Hope ni zile office ambazo pia huwa na computer maalumu za kuchunguza na ku test machine za simu si ndio?Hapo hapo kkoo sema umtafute mwenyewe, maana wengi wenu mnawafata hawa madalali wanaoweka meza nje ingia ndani ndani utaona ofisi inayojishughurisha na ufundi simu mara nyingi inakua na vifaa vya kutosha
Aisee upo sahihi ndugu. Unatoa nondo kama avatar yako ilivyo.Na huo ndio ubabaishaji wenyewe.
Ni kweli mafundi wazuri wapo ila ndiyo udalali kitu..na ujjnga wao ukimuachia simu usishangae vitu unabadilishiwa. Ndio maana Kkoo sio option kabisa.
Yes kwa case ya jamaa hapo hana ujanja ni kubadili tu.
Exactly!Safi. Sasa vema uweke na namba yako.
Maana mimi binafsi niliacha kufika Kkoo kwanza na ile atmosphere yake inakera. Ni kweli mwenye fremu ni nafuu kumuamini.
Japo binafsi nimewahi kuzinguana na ambaye ana fremu na ndanindani uleule mtaa wa Aggrey. Alikua mbabaishaji kwenye kazi kila siku Kiswahili japo nilipata simu yangu ikiwa sawa.
Tatizo lingine la mafundi wengi ni uswahili uswahili hasemi ukweli.
Yaan utoe 300k/400k ugharamie note 4..wakat rufurbished unapata hadi kwa 250k tuNajua sana, sina njaa na ndio maana I am ready hata kugharamia kwa laki 3 ikibidi. Nimeipenda note 4. Ni yangu hata ikibidi nitoe 400k ili ipone. Hope umeelewa.!