Tatizo mnafikia kwa madalali, maana dalali ndo anajua fundi wa uhakika anapatikana wapi, mimi kuna siku nilifika nikaulizia fundi simu mtaalamu wa software, wakanipeleka lakini cha ajabu akaniambia hana software yake
Nikaamua kuipeleka kwa mtaalamu wangu ninayemjua mimi yupo Moro huko ndo akaiflash ikawaka
Ila kwa sasa na mimi pia ni mtaalamu wa upande wa software ila kwa ishu ya mtoa mada namshauri abadili circuit
Ingekua ni ishu ya software ningemwambia aje ofisini maana kuna watu wengi tu huwa wanaelekezwa kwangu nawatatulia shida zao za software