Nipo DSM namtafuta fundi simu mwenye uwezo!

Andaa kuanzia 350+ japo mi sio dealer wala muuzaji wala fundi, najua hizo zangu kwakua nipambana nazo nikaamua kuziweka kabatini
Nmekuelewa mkuu, kudadadeki 350? Hapana Sithubutu, na hapo usikute dukani wanaweza kuniuzia grade ya chini kuna vile mwanga haupandi wala haushuki
 
Samsung kuanzia s6 edge vioo ni delicate sana kinaweza kucrake chenyewe tu.

Bahati mbaya umeiweka mfukoni na kuna coin unawezajikuta unatukana matusi yote kimyakimya [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Yaani hiyo siku utakosa furaha sana, hata usingizi hauji vzuri Mixer kujilaumu kwingiii.. simu zenyew tunanunua used 300 400, halaf kioo tu ikutoke 300 tena, aah weeh
 
Samsung kuanzia s6 edge vioo ni delicate sana kinaweza kucrake chenyewe tu.

Bahati mbaya umeiweka mfukoni na kuna coin unawezajikuta unatukana matusi yote kimyakimya [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sio kweli mkuu labda kioo kiwe kimeshawahi kubadilishwa
yaan kwa lugha ya kitaa KIOO CHA DUKANI
na hata dukani luna namba 1 na namba 2

mm km kununua USED samsung Sseriez au NOTE heri ninunue ye cracks kwenye GORILLA kuliko kununua iliyobadirishwa kioo 7bu muda si mrefu machozi yatakulenga utaishia kuiweka kabatini

GORILLA za S seriez na NOTE ni imara sana
hiyo ya COIN protection samsung waliimprove kitambo huko tangu enzi ya S4
 
Mkuu hapa natumia note8 ilikuwa na crake moja saivi nina ramani kama nne na sijaiangusha wala kuiweka kwemfuko wenye kitu kigumu.

Nlinunua mpyaa na box lake
 
Unasemeaje kuhusu hizi somu za mtumba zinazokuja na lcd dot
 
Mkuu hapa natumia note8 ilikuwa na crake moja saivi nina ramani kama nne na sijaiangusha wala kuiweka kwemfuko wenye kitu kigumu.

Nlinunua mpyaa na box lake
Yeah hiyo ndio GORILLA GRASS 5 zinazoipa ubora na kuilinda AMOLED DISPLAY yako
Enjoy SAMSUNG HIGHEND DEVICE
 
mkuu sina la kusema zaidi ya kuishukuru GORILLA GRASS PROTECTION imejitahidi kadri ya uwezo wake kuilinda AMOLED DISPLAY ya hiyo simu ya mtumba
Je haujawahi kusikiaga ama kuonaga kuhusu ile kidot kuendelea kutambaa kwenye kioo mpaka kuziba kote?
 
Ao itakuwa si jambo jema kuchukua yenye kidoti?
haifai ukiona ina kidoti au mstari kwenye Display haifai unless ununue bei nafuu sana
mm nazungumzia MINOR CRACKED za GORILLA kama hivi
images%20(43).jpg
 
Salam!

Ni chimbo gani naweza fundi simu? Smart phone yangu SM Note four imekufa power IC chip yake. So nilihitaji fundi anayeeleweka wa kui replace. Hela ipo sio tatizo.

Ninachotaka simu yangu iwake tu.
Salaam mkuu!
Vipi ulifanikiwa?

Kama bado nicheck nikupe contact s na kama ulifanikiwa kazi njema.

Wahuni tupo ila hatuvumi[emoji1614][emoji1614][emoji1614]
 
Tatizo mnafikia kwa madalali, maana dalali ndo anajua fundi wa uhakika anapatikana wapi, mimi kuna siku nilifika nikaulizia fundi simu mtaalamu wa software, wakanipeleka lakini cha ajabu akaniambia hana software yake

Nikaamua kuipeleka kwa mtaalamu wangu ninayemjua mimi yupo Moro huko ndo akaiflash ikawaka

Ila kwa sasa na mimi pia ni mtaalamu wa upande wa software ila kwa ishu ya mtoa mada namshauri abadili circuit
Ingekua ni ishu ya software ningemwambia aje ofisini maana kuna watu wengi tu huwa wanaelekezwa kwangu nawatatulia shida zao za software
Ewaaaah tupo pamoja mwambaaa, mimi mwenyewe nauza software na baadhi ya softcopy books
 
Power ic n stage 1 ukiwa unafanya diagnosis kwa simu ilyo zma
Weka mpya tafuta matatzo mengne
Ufund n kero
Bado tunaitwa wezi
Hahahahah
 
Back
Top Bottom