Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,281
- Thread starter
- #101
Kwa bei gani mkuu?!Yes, ila ina data zangu conf. So unafungiwa mashine tunaifomati unaondoka zako
Kwa bei gani mkuu?!Yes, ila ina data zangu conf. So unafungiwa mashine tunaifomati unaondoka zako
OoooohYes, ila ina data zangu conf. So unafungiwa mashine tunaifomati unaondoka zako
100kKwa bei gani mkuu?!
Daaah circuit ina bei aisee duuuh! Dukani note 4 zinauzwa bei gani mkuu?100k
200k+Daaah circuit ina bei aisee duuuh! Dukani note 4 zinauzwa bei gani mkuu?
Oooh hazizidi 400k? Na iPhone 6 je?200k+
Hapana mkuu haifiki 400k unapata hata note9 usedOooh hazizidi 400k? Na iPhone 6 je?
iPhone 6 je?Hapana mkuu haifiki 400k unapata hata note9 used
Sijui coz mi sio mfanyabiashara wa simu.iPhone 6 je?
Nimekupata kaka, tunaweza kuonana nii check? Kioo tu ndio kibovu sio?Sijui coz mi sio mfanyabiashara wa simu.
Hii note4 ni yangu ilikufa kioo nimeiweka kabatini
Kioo na system charge ila kioo cha Samsung ni gharama sanaNimekupata kaka, tunaweza kuonana nii check? Kioo tu ndio kibovu sio?
S5, Note4 na A9 pro(2016)Nimekupata kaka, tunaweza kuonana nii check? Kioo tu ndio kibovu sio?
Duuuuh bei gani mkuu kioo cha Samsung?Kioo na system charge ila kioo cha Samsung ni gharama sana
Kali
S5 Og hadi 150-200Duuuuh bei gani mkuu kioo cha Samsung?
Aisee hatari, halafu bei zao dukani ni za kawaida sana. Sijui kwa niniS5 Og hadi 150-200
Mtumba ukibahatisha 75_90
A9 Pro 200k
Mtumba 120k_150k
Samsung ni kiooAisee hatari, halafu bei zao dukani ni za kawaida sana. Sijui kwa nini
Eheheheh nilikuwa naimendea S10+ bei yake kioo inaendaje yakija kunilata ya kunipataS5 Og hadi 150-200
Mtumba ukibahatisha 75_90
A9 Pro 200k
Mtumba 120k_150k
Andaa kuanzia 350+ japo mi sio dealer wala muuzaji wala fundi, najua hizo zangu kwakua nipambana nazo nikaamua kuziweka kabatiniEheheheh nilikuwa naimendea S10+ bei yake kioo inaendaje yakija kunilata ya kunipata