Nipo DSM namtafuta fundi simu mwenye uwezo!

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
2,360
Reaction score
2,281
Salam!

Ni chimbo gani naweza fundi simu? Smart phone yangu SM Note four imekufa power IC chip yake. So nilihitaji fundi anayeeleweka wa kui replace. Hela ipo sio tatizo.

Ninachotaka simu yangu iwake tu.
 
Salam! Ni chimbo gani naweza fundi simu? Smart phone yangu SM Note four imekufa power IC chip yake. So nilihitaji fundi anayeeleweka wa kui replace. Hela ipo sio tatizo. Ninachotaka simu yangu iwake tu.!
 
ebu funguka tatizo la simu yako mpaka ikafikia hatua ya kuua hiyo power ic na uligunduaje kama imekufa hiyo power ic ..kubadirisha power ic ni issu kubwa kwa vifaa vyetu hapa bongo ushauri tafuta circut nyingine weka hapo mambo yawe sawa unaweza ni pm kwa maelezo zaidi
 
Ukifika k.koo..ukisikia tangazo hili...mafundi simu mafundi simu..mwisho kabisa kule..pita ndani mwisho kabisa kule.

Ujue tayari umefika eneo sahihi..chamsingi usimwachie fundi simu..utaibiwa hata vizima kwenye hiyo simu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kariakoo hamna kitu, niliwapelekea redmi iliingia maji ikawa inapoteza network mafindi kama watano wote wakachemka
karikoo wengi ni madalali na mafundi wa kweli awataki kuumiza kichwa kwa kazi ngumu tena za hardware ila wanachoangalia kwa sana mambo ya kubadirisha vioo tach system charge nk.mafundi wapo humu wengi tu
 
ebu funguka tatizo la simu yako mpaka ikafikia hatua ya kuua hiyo power ic na uligunduaje kama imekufa hiyo power ic ..kubadirisha power ic ni issu kubwa kwa vifaa vyetu hapa bongo ushauri tafuta circut nyingine weka hapo mambo yawe sawa unaweza ni pm kwa maelezo zaidi
Ni hivi, niliikuta tu home ikiwa haina display/kioo. Nikataka kujua km machine ni nzima au imekufa ili ninunue kioo kipya. So nikaenda K/Koo na ikagundulika simu iliingia maji, IC pia imekufa. Hivyo tu. Walii test machine yake.
 
Ukifika k.koo..ukisikia tangazo hili...mafundi simu mafundi simu..mwisho kabisa kule..pita ndani mwisho kabisa kule.

Ujue tayari umefika eneo sahihi..chamsingi usimwachie fundi simu..utaibiwa hata vizima kwenye hiyo simu.

#MaendeleoHayanaChama
Mbona wengi wanaonekana washamba washamba tu? Nimetembea mno pale, ila jamaa wana mambo ya kiswahili sana.
 
karikoo wengi ni madalali na mafundi wa kweli awataki kuumiza kichwa kwa kazi ngumu tena za hardware ila wanachoangalia kwa sana mambo ya kubadirisha vioo tach system charge nk.mafundi wapo humu wengi tu
Ni kweli IC chip sio poa, yahitaji mjuzi sasa.
 
Ulishapeleka kwa fundi akakuambia ni IC ya power imekufa? Kubadilisha IC tena kama ni zile IC zenye miguu hadi ndani si kazi ya uhakika.
Ndio mkuu, ni IC ya power
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni hivi, niliikuta tu home ikiwa haina display/kioo. Nikataka kujua km machine ni nzima au imekufa ili ninunue kioo kipya. So nikaenda K/Koo na ikagundulika simu iliingia maji, IC pia imekufa. Hivyo tu. Walii test machine yake.
mkuu me ni fundi nakushauri kama unaipenda njoo pm nikuuzie circut safi hayo mambo ya power ic kwa samsung ni ngumu kwakua samsung zikishauwa bootlooder gharama ya kumsha inakua gharama kubwa.nunu circut funga maisha yasonge ..karibu sana kwa kazi za uhakika phones and flat tv
 
Back
Top Bottom