Nipeni sifa za wanawake wafupi!

Nipeni sifa za wanawake wafupi!

Mwisho wa siku mapenzi sio mashindano ya kuringiana. You need someone who feels for you. Someone who strives to make you smile! Sijisifii but personally i also do have that character. That sense of humor! Just finding ways to make a woman smile...always! Short guys have that all na wanajua kujali haswa!

Kesi ya matolu kuringa hio nina real life experience, nina mdogo wangu janki tu wa 21 year with 6ft now. Kafuga mindevu ukimuona ana mwili kama lebron vile na upara wake! Au madem wanavyokoma sasa. Habembelezagi yani hio biashara hafanyi! [emoji3][emoji3][emoji3] Unakuta kademu kanazira badae kanarudi kujibembelezesha tena.
Haaaahaaaa[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahhaa mm namuona kbs hubby anaringa na kimo chake..huwa namdandia mabegan kwa hasira..unaomba msaada kisa yy mrefu anakuambia hv wakat Mungu anaumba warefu ww ulikuaga wp lakini bas nandandia nimuangushe tu
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
OMG I laughed out loud
Eti kumdandia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie najijua mfupi..ila nikikutana na wafupi mm nakuwa tall[emoji23][emoji23]..bt mm mfupi...!kitu kama 156cm hv[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]!miaka hii ndo nimejikubali...huko nyuma ilikua mwendo wa heels..sasa hv aku[emoji111]
Wewe sio mfupi, mfupi ni below 150cm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom