Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Nakusalimia ndugu mbilikimo
hahahhaa nakumbuka last wk ulisema w mrwfu hajaa tuteseni tu ...Mungu m1😂😂😂😂
Nakusalimia ndugu mbilikimo
Hongera dearaisee...! hongera sana...mm wa 2 alizaliwa na 4.1😐...sipend ht kukumbuka..
Kumbe u miss short..! Kuja huku nikuwowee..!Mie najua wengi ni smart upstairs...ila tumezidi sana ujanja!...!pagumu tunapenya!lol
Mimi sio mrefu sana sio mfupi 😄😄😄😄😄hahahhaa nakumbuka last wk ulisema w mrwfu hajaa tuteseni tu ...Mungu m1😂😂😂😂
4.1😔😔😔 duu! kweli hupaswi kukumbukaaisee...! hongera sana...mm wa 2 alizaliwa na 4.1😐...sipend ht kukumbuka..
Sema watu wafupi huwa mna shepu nzuri yaani ukiwa mfupi huwezi kukosa wowowo 🤣🤣🤣sio kama wenzangu na sio chura hatuna.hahahhaa nakumbuka last wk ulisema w mrwfu hajaa tuteseni tu ...Mungu m1😂😂😂😂
Kesi ya matolu kuringa hio nina real life experience, nina mdogo wangu janki tu wa 21 year with 6ft now. Kafuga mindevu ukimuona ana mwili kama lebron vile na upara mara low cut! Inshort ni ka handsome boi! Hao madem wanavyokoma sasa. Habembelezagi yani hio biashara hafanyi! 😀😀😀 Unakuta kademu kanazira badae kanarudi kujibembelezesha tena.😍😍😍😍
Kesi ya matolu kuringa hio nina real life experience, nina mdogo wangu janki tu wa 21 year with 6ft now. Kafuga mindevu ukimuona ana mwili kama lebron vile na upara mara low cut! Inshort ni ka handsome boi! Hao madem wanavyokoma sasa. Habembelezagi yani hio biashara hafanyi! 😀😀😀 Unakuta kademu kanazira badae kanarudi kujibembelezesha tena.
Sema watu wafupi huwa mna shepu nzuri yaani ukiwa mfupi huwezi kukosa wowowo 🤣🤣🤣sio kama wenzangu na sio chura hatuna.
Wanawake wafupi + Vijianamke vyembamba... Kama unataka kujiua usihangaike kutumalizia sumu za panya ... Wewe Tumia hawa wanawake utatuletea mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Asilimia kubwa wafupi wana shepu nzuri wapo wachache sana sio kama upande wa urefu hata wew najua lazima uwe mashallah 😋Mhhh hii ndo naisikia kwqko mamy...mbona kuna wafupi hatuna shepu..na kuna warefu wana mijishep yao km waziri Kairuki vile
Mie najijua mfupi..ila nikikutana na wafupi mm nakuwa tall..bt mm mfupi...!kitu kama 156cm hv
!miaka hii ndo nimejikubali...huko nyuma ilikua mwendo wa heels..sasa hv aku
![]()




wewe mbona mrefu kbs,Mimi nina 152 cm
Asilimia kubwa wafupi wana shepu nzuri wapo wachache sana sio kama upande wa urefu hata wew najua lazima uwe mashallah 😋
Hivi Ile picha ulio nitumia pm ulinidanganya kumbe aisee siamini maana ni mrefu 🙄Mimi nakua km Kinu nwdys...!zaman sawa ila sasa hv kinu..shingo,kifua,tumbo,kiuno vimeachana cm 3...!ukiniweka kwenye kiroba aku nafit safi kbs😣😣
Hivi Ile picha ulio nitumia pm ulinidanganya kumbe aisee siamini maana ni mrefu 🙄
Mimi nakua km Kinu nwdys...!zaman sawa ila sasa hv kinu..shingo,kifua,tumbo,kiuno vimeachana cm 3...!ukiniweka kwenye kiroba aku nafit safi kbs![]()






hakya mama umenichekesha mno