Nipeni sifa za wanawake wafupi!

Nipeni sifa za wanawake wafupi!

leo unanifurahisha ujue hahhha..ila sijui kwann wanaume wengi warefu wanatupenda wafupi..mm zaman sikua najiamin kbs..coz hom walikua wananicheka sana .alafu nilikua mkorofiiiii..alafu twin angu mrefu balaa sasa nikawa najidefend kinoma noma..nilipokutana na hubby akaniambia napenda tege lako na height yako..at first aliniudhi sana..nikajua ananinyamba..ss hv aku..na nguo ndef siwez sijui sipend sipendezei..napendeza fupi..bas mie kwatuuu..nafanyeje sasa
Hivi kwanini tuna vijimatege Fulani hivi ....nilijua peke yangu hahahahahhaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mrefu...japo wanasema vice versa is true but mwanaume mfupi bado ni changamoto kwangu!

Sister angu mrefu ila anapenda wanaume wafupi asee tumetofautiana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake warefu hawapendi wanaume wafupi na wanawake wafupi hawapendi wanaume wafupi kama wao!
Vipi na chura ni kama hiyo kwenye avatar?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes...unainjoy sana kwakwel...hawa warefu wanajishongondoa sana...ss mm ndo najishongondoaga zaidi yao😂😂
Mwisho wa siku mapenzi sio mashindano ya kuringiana. You need someone who feels for you. Someone who strives to make you smile! Sijisifii but personally i also do have that character. That sense of humor! Just finding ways to make a woman smile...always! Short guys have that all na wanajua kujali haswa!

Kesi ya matolu kuringa hio nina real life experience, nina mdogo wangu janki tu wa 21 year with 6ft now. Kafuga mindevu ukimuona ana mwili kama lebron vile na upara wake! Au madem wanavyokoma sasa. Habembelezagi yani hio biashara hafanyi! 😀😀😀 Unakuta kademu kanazira badae kanarudi kujibembelezesha tena.
 
Mwisho wa siku mapenzi sio mashindano ya kuringiana. You need someone who feels for you. Someone who strives to make you smile! Sijisifii but personally i also do have that character. That sense of humor! Just finding ways to make a woman smile...always! Short guys have that all na wanajua kujali haswa!
waoooh! there you are Mr Extrovert
 
Mwisho wa siku mapenzi sio mashindano ya kuringiana. You need someone who feels for you. Someone who strives to make you smile! Sijisifii but personally i also do have that character. That sense of humor! Just finding ways to make a woman smile...always! Short guys have that all na wanajua kujali haswa!

😍😍😍😍
 
Back
Top Bottom