Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Sahivi unafaa kwa kuyajenga sasa. Mwanamke akishafikia stage ya kujikubali ujue amekomaa kiakili
hahahaj
Sahivi unafaa kwa kuyajenga sasa. Mwanamke akishafikia stage ya kujikubali ujue amekomaa kiakili
Nina dada yangu mfupi ana dharau, kebehii, dhihaka... arrgghhhh! Sipati picha angekuwa mke wangu maana ningekuwa namfumua mabao ya uso usiku na mchana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mrefu...japo wanasema vice versa is true but mwanaume mfupi bado ni changamoto kwangu!
Sister angu mrefu ila anapenda wanaume wafupi asee tumetofautiana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mi ni average height ila nawakubali watoto pinto size! Asee ni watamu sana gademn! Halafu unaweza kummiliki vyema zaidi kwenye mahusiano, wako submissive. When im asked who to marry between short girls and the taller. My Card goes to pintos!Mi tolu, before nilikuwa naprefer mademu warefu tu na wafupi nilikuwa nawakacha kwa makusudi, ila nilikuja ku-date na old friend ambae tulicheza nae utotoni ila tukapoteana for years, mitandao ikatukutanisha. nikarusha ndoano ila ile kukutana yeye alikuwa mfupi afu mi tolu, nikaona poa tu ila nilichopata kutoka kwake dah siri yangu ila nilibadilisha mentality yote mpaka kesho...i prefer mademu wafupi. Wako hot sana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mi ni average height ila nawakubali watoto pinto size! Asee ni watamu sana *****. Halafu unaweza kummiliki vyema zaidi kwa bed! When im asked who to marry between short girls and the taller. My Card goes to pintos!
Pros: Wanajua kupenda for real, Wavumilivu sana, Watamu sana kwa Bed!
Cons: Wako very insecure, Nagging, Gubu n.k ila ukikumbuka akiwa kwenye sex mood anakupaje raha unaona sawa tu!
Mi tolu, before nilikuwa naprefer mademu warefu tu na wafupi nilikuwa nawakacha kwa makusudi, ila nilikuja ku-date na old friend ambae tulicheza nae utotoni ila tukapoteana for years, mitandao ikatukutanisha. nikarusha ndoano ila ile kukutana yeye alikuwa mfupi afu mi tolu, nikaona poa tu ila nilichopata kutoka kwake dah siri yangu ila nilibadilisha mentality yote mpaka kesho...i prefer mademu wafupi. Wako hot sana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Mara nyingi mademu wafupi wanakuwaga na tege refer Beyonce, Lulu...leo unanifurahisha ujue hahhha..ila sijui kwann wanaume wengi warefu wanatupenda wafupi..mm zaman sikua najiamin kbs..coz hom walikua wananicheka sana .alafu nilikua mkorofiiiii..alafu twin angu mrefu balaa
sasa nikawa najidefend kinoma noma..nilipokutana na hubby akaniambia napenda tege lako na height yako..at first aliniudhi sana..nikajua ananinyamba..ss hv aku..na nguo ndef siwez sijui sipend sipendezei..napendeza fupi..bas mie kwatuuu..nafanyeje sasa
Hahahaha ila ana upendo kama wote, ukorofi ni nature ya pinto size. Nawaitaga 3 doors!Nina dada yangu mfupi ana dharau, kebehii, dhihaka... arrgghhhh! Sipati picha angekuwa mke wangu maana ningekuwa namfumua mabao ya uso usiku na mchana!
Sent using Jamii Forums mobile app
utakapo nichapa hakikisha unakuja na ngazi ya kupandia tofauti na hivyo utaishia kunipiga miguuni.😂😂😂😂😂 unataka viboko sasa!
Passo!!!!
Hapo kwenye kijicho, gubu na uchawi nilidhani ni mimi peke yangu nawaona hivoSifa au Tabia mbaya za Wafupi.
1. Wabishi
2. Wajeuri na viburi
3. Wajuaji
4. Wana Wivu kupitiliza
5. Hawajiamini
6. Wanamdomo.
7. Wepesi kukasirika
8. Wengi sio wazuri sana.
9. Wengi ni wachawi.
10. Wanakijicho.
Sifa au tabia njema
1. Wanavipaji Hasa vya mdomo kama kuimba, kuongea na Vipaji vya kucheza.
2. Wanaakili za darasani na Maisha.
3. Wana **** ndogo na fupi hivyo wanafaa kwa wenye vibamia.
4. Wanajua mapambano hasa ya kulinda familia kwani sio rahisi kukubali kushindwa.
.....Very true wanaume warefu full maringo lkn akikutana na mrefu mwenzake anaufyataMimi nilikua km ww zaman..lakini nachelea kisema ni ujinga tu...tena wanaume wafupi ni smart upstairs..warefu wanaringa ..wanajiona wanapaswa kuishi USA
...
Ukitaka real love mingle na short guys, caring yao ni level za mbinguni kabisa.Very true wanaume warefu full maringo lkn akikutana na mrefu mwenzake anaufyata...
Halafu nilivyo na bahati mbaya na wanaume wafupi sasa![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Very true wanaume warefu full maringo lkn akikutana na mrefu mwenzake anaufyata...
Halafu nilivyo na bahati mbaya na wanaume wafupi sasa![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
AhaaaahaaaaaUkitaka real love mingle na short guys, caring yao ni level za mbinguni kabisa.
Muone Klynn anvyoinjoi mwenzio! Unafikiri mtu kama Trump anaweza fanya vile kwa mkewe?
...hebu ngoja nikawatest, nikikuta watamu nazamia huko huko
Ukitaka real love mingle na short guys, caring yao ni level za mbinguni kabisa.
Muone Klynn anvyoinjoi mwenzio! Unafikiri mtu kama Trump anaweza fanya vile kwa mkewe?
Hapo kwenye kijicho, gubu na uchawi nilidhani ni mimi peke yangu nawaona hivo.....
Sent using Jamii Forums mobile app