Nipeni sifa za wanawake wafupi!

Nipeni sifa za wanawake wafupi!

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂..mimi kwenye uzito jaman dah...nina72..nikiendaga hom Dingi anawaka na zile "BMR"sina hakika na spelling sijui..anakesha kunipima height na kukaluclate uzito wangu ...ah mm huko nimefeli..nakula kama mchwa sema kdg kidg..hapa njaa inauma😎!uzuri sina presha wala sukari...nadunda tu!..nataka kuacha kula nyama kwanza na keki maana napenda balaa

BMI- Body Mass index
 
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji111][emoji111][emoji111][emoji85]

Raha ya wafupi bana wana babyka mrefu hata apite na matako juu juu wala sistuki kabs hata mama watt anajua ilo ugonjwa wng vijana awajajua hii siri wakijua dah vita itaongezeka mjini


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom