Nipeni sababu kumi kwanini nisioe mnyarwanda

Nipeni sababu kumi kwanini nisioe mnyarwanda

Yani over my dead body Siwezi kuoa hapa Tanzania kwanza Madenti wengi wa nchi hii hawajui True love huku Kigali kuna watoto wazuri inside out aiseee mpaka sasa sijaona mwenye sababu za msingi za kunishawishi nisioe huku kama zipo sababu niambieni labda nitabadili mawazo View attachment 345335
Kumi zote hizo? Unatulipa?
 
Wanyarwanda ni wahaya ni jamii moja sio wachoyo..mm nakumbuka mwaka 2013 nilikua Bukoba kikazi bahati nzuri nikakutana na binti mmoja wa kihaya tulisoma nae chuo coz nilifikia hotelini alinikaribisha kwao ili kupunguza gharama na ku save travel allowance pale nyumbani walikua wanaishi yeye,mama yake na dada zake wawili..nilikaa kwao for two weeks na ni ngumu kuamini nilitembeza bakora kwa wote bila wao kujua yaani kama naenda bafuni namuita dada mtu na yeye bila hiyana anakuja yaani hawa watu sio wachoyo kabisa unakula kiulaini kabisa
uzinzi wako ndo ulikufanya ufanye hivyo
 
NI UTOTO TU AKISHAOA NDO ATAJUA.
1. Hutakuwa na mtoto wako toka kwa mkeo.
2. Hutoruhusiwa kusaidia ndugu zako.
3. Hutoruhusiwa kuendeleza nyumbani kwenu.
4. Kiburi ndo nyumbani kwa mabinti hawa.
5. Dharau kwao jadi.
6. Wachafu ndani - usiangalie wakitoka nje wakangara
7. Daima wanaamini hakuna mtu zaidi yao - hasa wenye sura kama uloweka hapo
8. Usiisaau namba moja imebeba mengi
9. Usiisaau namba 5 pia
10. Ongeza ya kwako moja

Nawafahamu, nawajua, nimeishi nao kwani kwetu ni Bukoba, wako wengi sana. Karagwe nimekaa na nimekuwa na urafiki nao wa kimapenzi ila uaminifu kwao ni 0- akikutambulisha mtu kuwa huyu ni kaka yangu ujue kuwa mme mwenzio.
Ndio chimbuko la mauaji ya kimbari dogo
 
Uzoefu wako ni Tanzania (madenti) na huko Rwanda, vipi ushatembelea kwenye miji hii
1. Asmara - Eritrea
2. Luanda - Angola
3. Addis Ababa - Ethiopia

Tembelea na huku utakuwa na uwanda mpaka wa kufanya maamuzi.
Akifika Eritrea au Ethiopia atasema hakuna wanawake wazuri zaidi ya atakaowOna huko
 
Back
Top Bottom