Nipeni sababu kumi kwanini nisioe mnyarwanda

Nipeni sababu kumi kwanini nisioe mnyarwanda

Kama umeshafanya maamuzi tayari, umeleta hapa ili iweje[emoji15]
 
Yani over my dead body Siwezi kuoa hapa Tanzania kwanza Madenti wengi wa nchi hii hawajui True love huku Kigali kuna watoto wazuri inside out aiseee mpaka sasa sijaona mwenye sababu za msingi za kunishawishi nisioe huku kama zipo sababu niambieni labda nitabadili mawazo View attachment 345335

Sababu ni kwamba hawatakukubali, hata kama wewe unataka hivyo!​
 
ushauri kwangu ukioa mtussi kwanza uwe na fedha maisha ya sound hawataki ni kama wanawake wa kichina ela kwanza pili katika watoto mkatao zaa jua lazima mmoja azae na mtussi mwenzie
 
Kumbe hata kaka mtu anaweza kugegeda hapo bac mkuu kaoe ulete huku tujigegedee
 
NI UTOTO TU AKISHAOA NDO ATAJUA.
1. Hutakuwa na mtoto wako toka kwa mkeo.
2. Hutoruhusiwa kusaidia ndugu zako.
3. Hutoruhusiwa kuendeleza nyumbani kwenu.
4. Kiburi ndo nyumbani kwa mabinti hawa.
5. Dharau kwao jadi.
6. Wachafu ndani - usiangalie wakitoka nje wakangara
7. Daima wanaamini hakuna mtu zaidi yao - hasa wenye sura kama uloweka hapo
8. Usiisaau namba moja imebeba mengi
9. Usiisaau namba 5 pia
10. Ongeza ya kwako moja

Nawafahamu, nawajua, nimeishi nao kwani kwetu ni Bukoba, wako wengi sana. Karagwe nimekaa na nimekuwa na urafiki nao wa kimapenzi ila uaminifu kwao ni 0- akikutambulisha mtu kuwa huyu ni kaka yangu ujue kuwa mme mwenzio.
Mkuu karagwe ulikuwa kayanga,mkwenda au omorushaka maana kule wamejaaa balaaa wazuri kwa kupiga na kukimbia kuweka ndani majanga tu
 
Wavivu mno kwa majukumu ya ndani km. usafi no. Wanajua kujiremba tu.
 
NI UTOTO TU AKISHAOA NDO ATAJUA.
1. Hutakuwa na mtoto wako toka kwa mkeo.
2. Hutoruhusiwa kusaidia ndugu zako.
3. Hutoruhusiwa kuendeleza nyumbani kwenu.
4. Kiburi ndo nyumbani kwa mabinti hawa.
5. Dharau kwao jadi.
6. Wachafu ndani - usiangalie wakitoka nje wakangara
7. Daima wanaamini hakuna mtu zaidi yao - hasa wenye sura kama uloweka hapo
8. Usiisaau namba moja imebeba mengi
9. Usiisaau namba 5 pia
10. Ongeza ya kwako moja

Nawafahamu, nawajua, nimeishi nao kwani kwetu ni Bukoba, wako wengi sana. Karagwe nimekaa na nimekuwa na urafiki nao wa kimapenzi ila uaminifu kwao ni 0- akikutambulisha mtu kuwa huyu ni kaka yangu ujue kuwa mme mwenzio.
Hapo kwenye namba 6 mkuu hujakosea,uko sahihi sana nawajua sana hao,ukikaa naye ndio utagundua.
 
Oa tu sehem yoyote ilimradi upendo wa dhati upo...........
Ila hata bongo kuna wazuri sana tu mbonaaa.
 
Wanyarwanda ni wahaya ni jamii moja sio wachoyo..mm nakumbuka mwaka 2013 nilikua Bukoba kikazi bahati nzuri nikakutana na binti mmoja wa kihaya tulisoma nae chuo coz nilifikia hotelini alinikaribisha kwao ili kupunguza gharama na ku save travel allowance pale nyumbani walikua wanaishi yeye,mama yake na dada zake wawili..nilikaa kwao for two weeks na ni ngumu kuamini nilitembeza bakora kwa wote bila wao kujua yaani kama naenda bafuni namuita dada mtu na yeye bila hiyana anakuja yaani hawa watu sio wachoyo kabisa unakula kiulaini kabisa
 
Yani over my dead body Siwezi kuoa hapa Tanzania kwanza Madenti wengi wa nchi hii hawajui True love huku Kigali kuna watoto wazuri inside out aiseee mpaka sasa sijaona mwenye sababu za msingi za kunishawishi nisioe huku kama zipo sababu niambieni labda nitabadili mawazo View attachment 345335
Daaah hata mm naona uoe huko maana Tz kila mrembo siku hizi ana Big Boot n Tit sijui wanaridhi wapi haya maungo.
 
Ki ukweli ni wahuni sana, na kitu kibaya kwao walichonacho ni ubaguzi yaani wapo kama wahindi! Ukimuoa huzai nae ng'o wanamentain status yao! Nimekuwa nao sana tangu udogo wangu!
 
Ki ukweli ni wahuni sana, na kitu kibaya kwao walichonacho ni ubaguzi yaani wapo kama wahindi! Ukimuoa huzai nae ng'o wanamentain status yao! Nimekuwa nao sana tangu udogo wangu!
Because you are not handsome.wewe sio mtanashati
 
Fata moyo wko unataka nn maswala y kusema eti ni Malaya mala o wahaya n wanyarwanda c wachoyo uo n unafki ata nyie mnaowaponda wahaya n wanyarwanda ht madem zen c wahaminifu uhuni c kabira n tabia ya m2 mbn mikoa mbali mbali w2 wke n wahuni n hawatulii n w2 woa ila mnawaona wahaya tu huo n ushamba acheni izo msijaji makabila y w2 jajini w2 wanaowatenda...mfyuuuuuu[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
 
Back
Top Bottom