Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,058
- 64,015
Nikienda kutafuta utajiri wa punje za mahindi kama wanavyosema watu wa huko kusini, nitakuwa nimekosea?
Kwa miaka yangu hii 76, ata kuku akidonoa punje nne, nitakuwa na cha kupoteza?
Kwa sababu umasikini nilionao, unanifanya nadharaulika katika jamii, naonekana kama sijapambana kabisa katika kutafuta maisha, na nimekuja duniani kusindikiza wanao ishi.
Natamani niwe kama yule jamaa wa Rhodesia, niwe nawagawia wana jf magari bure ya kifahari, pamoja na noti.
Nipeni koneksheni wakuu, sitawaangusha.