Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Habari wakuu.

Naombeni njia ya kweli ambayo siyo scam ya kuingiza $2 online kwa siku.

Isiwe blogging na apps, forex, kubet, cryptocurrency na referral invite networking. sizitaki hizi njia kwasababu:

-Blogging na apps sina uzoefu nayo na sijasomea IT,
-Forex kuijua inabidi uache shughuli nyingine uconcetrate nayo,
-Kubet hakutabiriki, leo unapata kesho unakosa,
-Crypocurrency mtaji wake ni mkubwa, kima cha chini ni 100,000,
-Referral invite networking watu wanaiona ni utapeli kwakuwa wengi wameshalizwa.

Karibuni kwa ushauri wakuu, nitafurahi sana nikipata njia ya uhakika ya kuingiza $2 online kwa siku.
Njoo nikupe njia
 
Kuna zile survey app ambazo hutoa task ya kupiga picha zile ndo zinaweza kukupa hiyo range ya dollar 2 (japo sio mara zote utakutana na task ya namna hiyo)

Nadhani zile hazihitaji capital zaidi ya bundle lako tu

Mfano unaambiwa ukafanye survey kwenye ofisi za western union, huko unatakiwa ukapige picha na picha inatakiwa imekidhi vigezo ukileta janja janja haikubaliwi na mara nyingi task hiyo huwa inakupa 12,000 Tsh
Boss naomba nitajie hiyo application
 
Kwa uhakika Mimi nimejiunga na kuifanyia kazi Scatec hii inalipa kweli na hakuna hela inayotakiwa kulipiwa kabla.
Unatakiwa Ku jisajili Kwa namba yako ya Simu baada ya kujiunga unapokea 6,000 ya kujiunga, then utatatkiwa kusambaza link Kwa watu wako, Kila atakayejiunga kwako itaingia 400 na Kila siku utakuwa unaingiza 300.

Kama utatuma link nyingi na kuweza Ku upgrade unaweza kuingiza mapaka 70,000 Kwa sikuku.

Kama unataka kujiunga link hii hapa jiungeni




 
Kujua forex inabidi uache shughuli nyingine na uconcetrate wakati mm ni graduate na nilianza kujifunza kabla ya kuchukia shada yangu...na Sasa hivi nipo saiti na Bado nasongaa...tatizo mwafrica kufanya research/utafiti anauliza kwa watu vijiweni au small circle bas wakati unaweza kugoogle ukaingia library na vitu vingine vinavyoweza kukupa information dah....kasheshee

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app

Hizi fursa ni ngumu kuwekwa wazi ikiwa mjuvi hatanufaika kwa chochote

Mfano watu walimint nft ya bored ape mwaka jana kwa dollar mia mbili ila mpaka sasa kuna ambao wameuza kwa dollar millioni moja ndio sasa tunaanza kusikia kelele za nfts
 
Fungua magroup ya kulipisha ya WhatsApp unakotoa movie daily kwa kiasi fulani kwa mwezi.

Mf. Group la K. Dramas, la Action Movies, la Comedy na RomComs, etc.

Nenda fb toa mabandiko kua anaetaka group la movie za.... daily abofye link kujiunga. Unaweza yajaza ndani ya siku mbili au tatu.

Toa andiko humo kwenye post kuwa week ua kwanza /au siku 5 za kwanza ni bure na baada ya hapo utaanza lipisha walau buku kwa mwezi . Wengi wata leave. Wengi watabaki.

So, groups tano, ukibaki hata na watu 35 per group, hio ni 35 x 1,000 x 5 ni laki na 75 kila mwezi.

Ukiigawa kwa siku 28, unakuwa unaingiza approx. 6,200 per day. Hio ni roughly $2 lakini unaipata kwa ki Tz.

Changamoto utakayokutana nayo, ni mishe nzima ya kupost muvi kila siku inachosha, so unaweza zembea zembea ukakuta unapoteza watu.

***Vijana wengi siku hizi wa ovyo, badala ya muvi ukisema unapost zile mambo za wakubwa hata kwa buku mbili kwa mwezi, utawadaka wengi. Ila inachosha pia, na kama una moral code ni ngumu kumantain.
 
E-BOOK huyapa tiali inakuoa muongozo mzuri wa UPWORK
Sehemu.....01
1)Jinsi ya kujiunga
2)Jinsi ya Kuandika Title
3)Kunadika Overview
3)Kuandika Cover Letter
4)Temrnologies Muhimu
4)Jinsi ya Kuset kupokea malipo

Sehemu...02
1) Skillsets unazoweza kuuza
2) Skillsets rahisi kujifunza na Software tools zake
3)Sehemu unapoweza jifunza
4)Skills zinazolipa
5) Skills ya Product Designing

BEI 5000 TZS
20220808_225203.jpg
 
Karibu nikupe application ya Netflix ambayo haina malipo ya kila mwezi, uangalie movie yeyote unayo itaka milele bila kulipia malipo ya mwisho wa mwezi.

(Kumbuka application ya kawaida itakudai malipo yasiyopungua elfu 20 kila mwezi ili uendelee kupata huduma ya kuangalia movie, ila hii ninayo kupa mimi haina hayo malipo ya kila mwezi, yaani ni BUUUREEEE kabisa)

Nitakupa application hii kwa 5000 tu.

Karibu Whatsapp 0620181872
 
Wadau nina mtaji wa 100,000 niwekeze wapi online sitaki zile za kubahatisha kama betting
 
Anae jua zinapo uzwa hizi material za kutengenezea bracelet aniungamishe nao. Ikiwa ndani ya Morogoro, Arusha, Kilimanjaro, Tanga au Daslamu itakua poa zaidi maana ni maeneo ya karibu na nilipo.


Natanguliza shukrani
 

Attachments

  • 20220907_083240.jpg
    20220907_083240.jpg
    35.7 KB · Views: 47
  • 20220907_083251.jpg
    20220907_083251.jpg
    23.9 KB · Views: 40
Wabongo ni wachoyo sana kukupa siri ya hatua zote za mafanikio. Tangu uzi uanze aliyetoa jibu sahihi kwa mujibu wa swali langu ni mmoja tu, aliyesema nijaribu appen na oneforma. Waliobaki wote wanazunguka tu.
True, na wengine hawapendi kuitwa Mataperi, thats why wanawachora tu....!
 
Back
Top Bottom