Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Incase mmesahau nawakumbusha tu .....

NB: ukiona mtu anakuitia fursa jua wewe ndo fursa yenyewe ..... na akiliza kupewa changanya na zako ....
Hapo kwenye akili ndio umemaliza kila kitu mkuu. Uko sahihi kabisa, usimpangie mtu maisha. Mwache atumie akili yake kufanya maamuzi yake. Mtu kashaambiwa kufanya mining ni bure, sasa ni jukumu lake kuona kama kuna mahali atahitajika atoe pesa ili kufanywa fursa. By the way hakuna mtu anaweza kuingia mfukoni kwa mtu akatoa pesa. Akili mtu wangu. Akili.
 
VIJANA tupeane Fursa Kamata Mchongo Huu. Kama una uoga wa Kupigwa njoo Whatsapp nikuonyeshe video ninavyo withdraw nakuchukua pesa. Jisajili Sasa na Dreamlife ukiwekeza laki utaingiza buku8 Kila siku. Ila angalizo hii platform ni Mpya hakikisha unainvest kwenye mwezi huu wa sita.yaani katika time kampuni inatafuta watu waingie kingi wewe utakuwa ushaingiza mkwanja, then unawaachia makolo.

Invest at your own risk. Watu tunaingiza vichenji huku. Haitupi utajiri Ila angalau chochote kinapatikana.

Gusa link Kujisajili.

Ukikwama nicheki
0658412883
 
 
Kuna mdau hapa alishawahi na IDEA DEBATER??

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Kajiunge delaska 😂😂ukapigwe au ufanye freelancing laasivyo endelea kunyoosha miguu na shingo.
 
hii inahusika na nini haswa?
 
Naomba link yake mkuu
Ahsante
 
Kunae hii hapa ingawa umesema hutaki referral link ila hawa wapuuzi wana mwaga mi dollar tu sema wanadai ili u withdraw lazima ufikishe dollar 200 na kimsingi sio kazi ngumu kwani maswali yao ni marahisi alafu wanalipa dollar mbili per survey.

Msinishike mashati mimi mwenyewe ndio kwanza nimeanza masaa machache yaliyo pita ila mpaka saivi nina dollar 36 ila uhakika wa kuzi withdraw sina sababu sijafikisha bado kiwango wanacho hitaji ila nikIfikisha pia nitawapa mrejesho

Ila uzuri wake huweki hata senti tano yako ni kutumia tu bundle lako kupiga hela badala ya kwenda google kutafuta namba 30 kwa kirumi.

Link hii apa na picha nakuwekeeni muone

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…