Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Mkuu nadhan siku 23 tayar tunomba mrejesho please vp hio laki 2 ya pili umefanikiwa kuitoa? Vp hujaanza kuwekeza faida yao? Ushuhuda wenu ndio utatuokoa wengine
Ni full kuwindana mkuu, hakuna namna
Nimeshatoa mara ya kwanza, nasubiri siku 23 zingine zipite nitoe laki mbili ya pili, baada ya apo ata wakinipiga bado nakua nmefaidika
 
Nikishafika hii hatua ya kutoa, nikitoa buku 4 yenyewe inaleta mia 4, shida sijui ni nn
 

Attachments

  • 20220524_084714.jpg
    58.8 KB · Views: 62
Ishu ipo kwenye kupga picha baadhi ya vitu Ndo shida
 
Ishu ipo kwenye kupga picha baadhi ya vitu Ndo shida
Kupiga picha unakuwa unaangalia, unapiga kwa kuvizia mfano mim juzi nilipewa task ya kupiga picha kanisa au msikiti, nikaenda nikasimama mbali sana nikapiga picha kanisa badae wakataka nipige na kibao chake na kibao kilikuwa ndani nikaamua kupiga picha rami nikasubmitt, kesho yake mpunga ukaingia kama kawaida ukaongeza balance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…